- Baba yangu ni Kiongozi aliyewahi kuwa Eminent Person, kati ya watu 7 waliochaguliwa na Commonwealth kama wenye busara sana Duniani kwenda kuongea na Makaburu na Mandela akiwa jela, so anajua wazi watu wawili hamuwezi kubishana mbele ya public maana wenye akili watapata taabu sana kujua mwerevu kati yenu,
- Ila it does not make any sense kwamba Malecela alioa kwa kwa kubadili dini ya Islam, halafu miaka mitatu later akaoa tena halafu katika Makanisa yote akaolea kwenye kanisa la Anglicana, lililomfukuza Rose Muhando kwa sababu ya kuimba kwa kulipwa kidogo, ndio maana baba yangu anasema hataki kuandika kitabu maana ataawaabisha wengi sana walio hai na wafu na I agree!
- Swali dogo sana nawauliza mnashindwa kujibu ambalo ni la msingi zana kwa vizazi vijavyo badala yake unalili udaku, jibu swali kwa nini Seif Hamadi, Seif Bakari na Abdu Jumbe walitolewa madaraka yao na kuwekwa under house arrest kwa kudai Muungano ufe, lakini Kasaka na wenziwe hawakufanyiwa hivyo? Nani alikuwa behind yao?
le mutuz