The history of Malecela v. Kolimba tug of wars now repeats itself in Lowassa v. Membe!

The history of Malecela v. Kolimba tug of wars now repeats itself in Lowassa v. Membe!

Mkuu Rutashubanyuma hapa W.J.Malecela kaongea kweli kabisa hata mimi siamini serekali tatu zikiundwa muungano utabaki salama.Umewahi kujiuliza Zanzibar watachangia nini !.Suluhisho ni serekali moja tu.

W. J. Malecela ninajitahidi kutokuongelea wewe maana nitakuwa nje ya topic.....................kwa hiyo wataka kutudanganya ya kuwa haiwezekani kuwa na muungano wa serikali tatu?
 
Mkuu Rutashubanyuma hapa W.J.Malecela kaongea kweli kabisa hata mimi siamini serekali tatu zikiundwa muungano utabaki salama.Umewahi kujiuliza Zanzibar watachangia nini !.Suluhisho ni serekali moja tu.

Ngongo tatizo wao wataona tumewameza..............serikali ya shirikisho iko sehemu nyingi kwani hata sasa hivi wanachangia nini zaidi ya maneno ya kutukashifu na kudai madaraka bila ya kulipia bili za kuendesha muungano..........wanadai nusu kwa nusu lakini inapokuja bili wanadai hawana uwezo.............wa kuzilipia lakini uwezo wa kushika dola wanao........
 
Ndiyo maana yake!!! Mama Tatu Ntimizi akiwa mbunge , mara baada ya uhusiano wake na mzee Tinga kwisha alisema mbele ya wabunge wenzie bungeni kuwa " NIMEACHIA NGAZI". Huo ushahidi upo!!
Last edited by Ndinani; Yesterday at 10:00.​

Ndinani hili suala huyu kijana wa tinga W. J. Malecela analijua na ndiyo maana analikwepa-kwepa hivi hataki tujue ukweli...na haata tinga analikwepa na ndiyo maana hataki kuandika juu ya maisha yake.........
 
Ndiyo maana yake!!! Mama Tatu Ntimizi akiwa mbunge , mara baada ya uhusiano wake na mzee Tinga kwisha alisema mbele ya wabunge wenzie bungeni kuwa " NIMEACHIA NGAZI". Huo ushahidi upo!!

- ha! ha! so Mbunge MWanamke akisema ameachia gazi maana yake niilikuwa kwenye ndoa? ha! ha1 ha!

le mutuz
 
Ndinani hili suala huyu kijana wa tinga W. J. Malecela analijua na ndiyo maana analikwepa-kwepa hivi hataki tujue ukweli...na haata tinga analikwepa na ndiyo maana hataki kuandika juu ya maisha yake.........

- Tatizo lako ni una agenda against Membe, lakini hujui how this game of propaganda is played so unahangaika sana, tatizo ni kwamba umeanza very late na the worst huna hoja against Membe, hakuwezi kuwepo na Muungano kama kuna Ta nganyika ishu ndogo kama hii inakupa taabu kuelewa, sasa itakuwa hayo mengine pole sana bro!!

le mutuz
 
You think so?.
Just wait and see ..
He is like wine "the older it gets, the better it becomes!" and as 2015 approaches, "the nearly the bone, the sweeter the meat!" just sit and enjoy the show!.
Pasco.

Pasco, sometimes I want to believe what you say and sometimes no...
They are too good to be true...
If that is the case, how come he was almost ousted from the CCM's chairmanship last year?
 
There is a rotten system in the party, no matter what terrible things you do, you will stay where you are until your term finishes. Hivi kuna njia yoyote ya kumuondoa mbunge kabla ya miaka mitano kwisha?
 
I am not a supporter to EL, but I have listed to Membe in so many occasions and I do not see presidency in him. However, the last few years I have proved that anyone can be a president in Tanzania.

Yetu Macho, RIP Julius Kambarage Nyerere
 
7) With Chadema now a political force to reckon with and knowing Dr. Slaa was robbed of victory in 2010 triggering the establishment of new political order in a constitutional setup one has to ask himself how far will Jk ignore ccm rank and file and impose one of his presidential sidekicks. Will that not be too much a price to pay if ccm just like Kanu goes on and lose 2015 election at the luxury of jostling for personal interests?

in waiting for time to tell us the truth............

Kwi kwi kwi, teh teh teh.

What a joke.
 
I am not a supporter to EL, but I have listed to Membe in so many occasions and I do not see presidency in him. However, the last few years I have proved that anyone can be a president in Tanzania.

Yetu Macho, RIP Julius Kambarage Nyerere

Sumba-Wanga seriously speaking that is what the current constitution says, of course barring age limitations. In the end we deserve our leaders as some commentators in this blog have sumptuously proven pegging on what is not.............I hope we will be around to gauge everyone at the decision hour........
 
- ha! ha! ha! next time pick up a fight you can win! ha! ha1 it is a game of facts mamen!!

le mutuz

W. J. Malecela easier said than done.............so far no facts have come out of you but generalizations supported by nothing else...............I pity you from the deepest of my heart and I keep wondering what kind of education is in you........there is no analysis but hyperbolic claims with no iota of justification........
 
Pasco, sometimes I want to believe what you say and sometimes no...
They are too good to be true...
If that is the case, how come he was almost ousted from the CCM's chairmanship last year?

Sumba-Wanga better believing in yourself
 
In this thread only one member knows everything and everyone knows nothing.

Bongolander are you throwing the towel........is it not too earlier to do that or you are a born a quitter?
 
- Tatizo lako ni una agenda against Membe, lakini hujui how this game of propaganda is played so unahangaika sana, tatizo ni kwamba umeanza very late na the worst huna hoja against Membe, hakuwezi kuwepo na Muungano kama kuna Ta nganyika ishu ndogo kama hii inakupa taabu kuelewa, sasa itakuwa hayo mengine pole sana bro!!

le mutuz

W. J. Malecela well, the snag is you can't prove any of this, so why should I be concerned with your commentary?
 
Back
Top Bottom