Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
sasa kutumwa kwa babako kuenda kuongea na Mandela na makaburu inahusiana vp na ndoa yake yeye na Tatu Ntimizi (suala binafsi) wakati tunajua mzee wako amekua mjane kwa muda (mpaka alipomuoa mama Kilango) na dini za Kikristu zinaruhusu kuoa tena ukipotelewa na mke na kipindi hicho alikuwa katika status hiyo? Au kigezo kilikuwa lazima usiwe umeoa mke wa Kiislam? Sikuelewi Le Mutuz naona unajikanganya hapa! Tukivipa viapo haki yake Le Mutuz wewe jina lako kamili ni William Jumanne John Malecela.
BTW kuna kitu ningependa kufahamu ile scandal ya picha chafu za Kikwete ulikuwa wewe mhusika au una kaka/mdogo aliyekamatwa au kuhusishwa na tukio lile? Maana niliskia tetesi mtoto wa Malecela kwa vile upo hapa na hili ni jukwaa la ukweli na uwazi hebu tumegee ukweli wa mambo ulikuwaje? Tupatie ufafanuzi kidogo...