Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,288
JingalaFalsafa tatizo la haya unayoaongea siyo kiini cha hii mada..............na ndiyo maana nisingependa kuyakuza na kuaacha mada.......................lengo la kuonyesha nguvu ya Nyerere ndani ya ccm ni kuwa ilizamisha njozi za Malecela na Kolimba katika nia zao za kuwa Raisi na siyo zaidi ya hapo.
Rutashubanyuma, kama mchakato utaachwa uchukue mkondo wake bila kuingiliwa kama ilikvyokuwa kwa Malecela/Kikwete/Mkapa, sioni mtu wa kumzuia Lowassa kuwa mgombea kwa tiketi ya CCM- huyu jamaa bado ana nguvu kubwa ndani ya chama hicho
Kumradhi ndugu!
Najua ulicholenga. Lakini kama alivyoguswa aliyeuliza kama Nyerere alikuwa dikteta, ndivyo nami nilivyoguswa kujibu. Kwa bahati mbaya yale tuandikayo yanaweza kugusa imani za watu pasi kutarajia, ujasiri wa hali ya juu sana kwa aliyeguswa kuweza kukaa kimya bila kujibu, ndicho kilichonikuta mkuu wangu, nilikosa ujasiri huo! Tubaki kwenye mada sasa!
Mungu wetu anaita!
- G-55 walichokuwa wanafanya ni uhaini labda ungeenda mbali kidogo na kufafanua ni kwa nini hawakukamatwa kama wengine na kuwekwa Rumande au Kizuizini, na kwa nini sasa Kaska Njelu the author ametupwa nje ya utawala?
le mutuz
JingalaFalsafa Nyerere alikuwa mtu swafi ila wakati wake wa vita baridi ilibidi awe hivyo jinsi ambavyo alikuwa..............
Kama G-55 unasema walikuwa wahaini , uelewe kuwa Kolimba na Malecela wasingepona kwenda lupango kwani wao pia waliwaunga mkono!! Je, Unaelewa hilo?
Kizuizini?
uhaini?
wakati ni suala walililipeleka bungeni?
Hivi ni kweli babako alibadili dini kuitwa Jumanne Malecela na kumuoa Tatu Ntimizi? hebu funguka hapa...- Kwani kosa la Seif Hamadi, Abdu Jumbe na Seif Bakari halikuwa sawa na hili si na wao walitaka Tanganyika iondoke kwenye Muungano mbona hawa waliwekwa ndani lakini sio g55? Infact Kasaka Njelu ndio kwanza akapewa Uwaziri Mdogo wa Kilimo na kuishi Kilimanjaro Hotel kwa karibu Miaka miwili kwa kutimiza lengo la kupma Urais Mkapa,
- My bro zile enzi ziliisha, hii habari ni ya kuunga unga haina facts ila kwa vile bongo tunapenda habari na matukio bila kujali facts ndio maana inaweza kuonekana kama jamaa mkali sana, habari nyingi hapa hazina ukweli na pia huwezi kuwalinganisha Lowasaa na Membe kwana umri ni taofauti sana halafu hakukuwa na tatizo kati ya Kolimba na Malecela na wala hakuna tatizo kati ya Membe na Lowassa, so hii ni kusadikika tu kama ilivyokuwa Dodoma majuzi mambo mengi yalitengenezwa yaonekane kuwa ni kweli lakini hakukuwa na ukweli wowote!!
le mutuz
Hivi ni kweli babako alibadili dini kuitwa Jumanne Malecela na kumuoa Tatu Ntimizi? hebu funguka hapa...
- Kwani kosa la Seif Hamadi, Abdu Jumbe na Seif Bakari halikuwa sawa na hili si na wao walitaka Tanganyika iondoke kwenye Muungano mbona hawa waliwekwa ndani lakini sio g55? Infact Kasaka Njelu ndio kwanza akapewa Uwaziri Mdogo wa Kilimo na kuishi Kilimanjaro Hotel kwa karibu Miaka miwili kwa kutimiza lengo la kupma Urais Mkapa,

- Logically unatakiwa kusema ni kwa nini hoja yao ilikufa bila kupata walichotaka? Ile jeuri walikuwa wnaiotoa wapi? Sasa hatuna Tanganyika mbona kasaka kiongozi wao upo kimyaa? Tatizo sio Wabongo ni wajinga, tafuta ujue nani alikuwa behind lile kundi bro!!
le mutuz
- Kwani kosa la Seif Hamadi, Abdu Jumbe na Seif Bakari halikuwa sawa na hili si na wao walitaka Tanganyika iondoke kwenye Muungano mbona hawa waliwekwa ndani lakini sio g55? Infact Kasaka Njelu ndio kwanza akapewa Uwaziri Mdogo wa Kilimo na kuishi Kilimanjaro Hotel kwa karibu Miaka miwili kwa kutimiza lengo la kupma Urais Mkapa,
- My bro zile enzi ziliisha, hii habari ni ya kuunga unga haina facts ila kwa vile bongo tunapenda habari na matukio bila kujali facts ndio maana inaweza kuonekana kama jamaa mkali sana, habari nyingi hapa hazina ukweli na pia huwezi kuwalinganisha Lowasaa na Membe kwana umri ni taofauti sana halafu hakukuwa na tatizo kati ya Kolimba na Malecela na wala hakuna tatizo kati ya Membe na Lowassa, so hii ni kusadikika tu kama ilivyokuwa Dodoma majuzi mambo mengi yalitengenezwa yaonekane kuwa ni kweli lakini hakukuwa na ukweli wowote!!
le mutuz
W. J. Malecela hivi kweli baba na mama ntimizi mambo zao ilikuwaje........funguka leo..........
Mi sioni ni wapi issue ya Malecela na Kolimba inapofanana na Membe na Lowassa,
Lakini pia, Mkuu le Mutuz, pia huwezi kuifananisha issue yaG55 na issue ya akina Seif au Jumbe, G55 walikuwa wapo sehemu sahihi ya kusema hayo mmbo na walikuwa wakilindwa na sheria na hata Nyerere alikuwa hana uwezo wa kumuukumu mtu yoyote zaidi ya kuandika kile kitabu kinachoonesha udhaifu wa Malecela na Kolimba,
Mkuu usitake kututungia storyy za uongo kuwa ile ilikuwa ni mipango ya kumweka Mkapa madarakani
kanisa halipingi ndoa za mkeka zinazofanywa kisiri! Sasa unataka kutuambia Mwl aliropoka tu hakukuwa na ukweli? mbona baba yako akujibu tuhuma hizi?- Well, Malecela liabadili Dini akamuoa Tatu Ntimizi sasa ikawaje tena Kanisa la Anglican likamruhusu kuoa Kanisani? Unajua yote yanafahamika yalikuwa yanatokea wapi, ila kama anavyosema baba yangu kwamba akiamua kuandika kitabu atawaaibisha wengi wanaoehshimika baada ya kufa.
le mutuz
kanisa halipingi ndoa za mkeka zinazofanywa kisiri! Sasa unataka kutuambia Mwl aliropoka tu hakukuwa na ukweli? mbona baba yako akujibu tuhuma hizi?
- Baba yangu ni Kiongozi aliyewahi kuwa Eminent Person, kati ya watu 7 waliochaguliwa na Commonwealth kama wenye busara sana Duniani kwenda kuongea na Makaburu na Mandela akiwa jela, so anajua wazi watu wawili hamuwezi kubishana mbele ya public maana wenye akili watapata taabu sana kujua mwerevu kati yenu,
- Ila it does not make any sense kwamba Malecela alioa kwa kwa kubadili dini ya Islam, halafu miaka mitatu later akaoa tena halafu katika Makanisa yote akaolea kwenye kanisa la Anglicana, lililomfukuza Rose Muhando kwa sababu ya kuimba kwa kulipwa kidogo, ndio maana baba yangu anasema hataki kuandika kitabu maana ataawaabisha wengi sana walio hai na wafu na I agree!
- Swali dogo sana nawauliza mnashindwa kujibu ambalo ni la msingi zana kwa vizazi vijavyo badala yake unalili udaku, jibu swali kwa nini Seif Hamadi, Seif Bakari na Abdu Jumbe walitolewa madaraka yao na kuwekwa under house arrest kwa kudai Muungano ufe, lakini Kasaka na wenziwe hawakufanyiwa hivyo? Nani alikuwa behind yao?
le mutuz