The history of Malecela v. Kolimba tug of wars now repeats itself in Lowassa v. Membe!

sasa kutumwa kwa babako kuenda kuongea na Mandela na makaburu inahusiana vp na ndoa yake yeye na Tatu Ntimizi (suala binafsi) wakati tunajua mzee wako amekua mjane kwa muda (mpaka alipomuoa mama Kilango) na dini za Kikristu zinaruhusu kuoa tena ukipotelewa na mke na kipindi hicho alikuwa katika status hiyo? Au kigezo kilikuwa lazima usiwe umeoa mke wa Kiislam? Sikuelewi Le Mutuz naona unajikanganya hapa! Tukivipa viapo haki yake Le Mutuz wewe jina lako kamili ni William Jumanne John Malecela.

BTW kuna kitu ningependa kufahamu ile scandal ya picha chafu za Kikwete ulikuwa wewe mhusika au una kaka/mdogo aliyekamatwa au kuhusishwa na tukio lile? Maana niliskia tetesi mtoto wa Malecela kwa vile upo hapa na hili ni jukwaa la ukweli na uwazi hebu tumegee ukweli wa mambo ulikuwaje? Tupatie ufafanuzi kidogo...
 

Bongolander uko sahihi hapakuwepo uhusiano wa moja kwa mojakati ya G-55 na akina Aboud Jumbe............................Jumbe na wenzie walitaka kujitoa kwenye Muunganio na hawakutumia vikao vya chama katika kufikisha azma yao wakati g-55 walitumia ngao ya bunge.......
 
Last edited by a moderator:

Geza Ulole anachofanya W. J. Malecela ni kuupooza ukweli..........
BTW kuna kitu ningependa kufahamu ile scandal ya picha chafu za Kikwete ulikuwa wewe mhusika au una kaka/mdogo aliyekamatwa au kuhusishwa na tukio lile? Maana niliskia tetesi mtoto wa Malecela kwa vile upo hapa na hili ni jukwaa la ukweli na uwazi hebu tumegee ukweli wa mabo ulikuwaje. Tupatie ufafanuzi kidogo...
 

Kituko cha kufanana ni mbinu za kupata madaraka ndani ya ccm.........kuwa kuna mambo huwa hayabadiriki ingawaje wachezaji ni wengineo.........
 
Last edited by a moderator:

W. J. Malecela hii sasa umetulamba chenga ya mwili
 

- Seif Hamad, Seif Bakari, Abdu Jumbe, G55 wote walikuwa na tatizo moja tu hawakutaka Muungano uwepo, wengine walilalamikia kwenye Chama CCM wengine bungeni, lakini wengine wakafukuzwa kazi na kuweka chini ya ulinzi na wengine kuongezewa mlo, watu wazima na akili timamu mnajaribu kuikwepa hoja kwa kutumia maneno mengi ya kitoto sana ili kuhakikisha mnakwepa ukweli kwamba g55 walikuwa wanatumwa na Kiongozi mmoja ambaye mmnamjua ni nani, ndio maana hili taifa tutaendeela kkudanganyana mpaka mwisho wa Dunia,

- Kuhusu Malecela kuandika kitabu it does not matter wewe amini what you want wala sio tatizo ila si unajua sheria ya bongo wewe sikuamini na mimi sikuamini, ndio tunavyoiishi na it is ok!!

le mutuz
 

- Well, tatizo lako ni dogo sana unataka dataz kutoka kwangu ila nji aunayoitumia ni childish unafikiri ukiniita Jumanne which I know I am not labda nitafunguka sana umepota njia naona wewe ni mgeni humu JF mambo kama haya tumeyaongea sana humu JF for years, lanbda nenda kwenye archives zipo zitakusaidia kuhusu this subject!1

le mutuz
 

Yaani wewe ulikuwa unagombea ubunge na hujui haki za ubunge? Kwa hiyo uiltaka G55 watiwe kizuizini kwa kuongea Bungeni? Chini ya sheria gani?

Ati "G55 walikuwa wanatumwa na Kiongozi mmoja ambaye mnamjua ni nani?"......kha ndio ndio "Baba" alivyokwambia?
 
You think so?.
Just wait and see ..
He is like wine "the older it gets, the better it becomes!" and as 2015 approaches, "the nearly the bone, the sweeter the meat!" just sit and enjoy the show!.
Pasco.

What really has changed Pasco? National interest comes before anything people say.
 
Last edited by a moderator:

Sikubaliani kabisa na hilo...bora aandike tujue moja maana kwani yaliyokuwa yanafanyika ni siri kiasi hicho?By the way we need to balance the story. It would be wise if he writes...
 

Mkuu Le Mutuz

Sijui kama unamtaja AHM au ni nani, lakini the issue is not who was behind the move, the issue here is the would be outcome. Wengine kutochukuliwa hatua na wengine kuchukuliwa hatua kunatokana na jinsi walivyokuwa wanacheza.


G55 walikuwa na akili kidogo, walipita kwenye mkondo wa usio kinyume na sheria, lakini kina Seif walifanya kihuni. Labda Lengo kuu lilikuwa moja, lakini G55 walicheza American Footbal wakiwa na Helmet, lakini kina Seif na Jumbe waliingia kichwakichwa.
 

- Wote walikuwa hawataki Muungano, wengine walisemea kwenye CCM na wengine walisemea kwenye Bunge la CCM, kwa nini adhabu zao zikawa tofauti? ha! ha! ha! ha! I hope wewe unayoandika hujaambiwa na baba yako au? ha! ha!

le mutuz
 

- Sio kweli wote walikuwa na tatizo moja hawakutaka Muungano, na wote walisemea kwenye vyombo vya CCM, hakuna aliyeingia kwa kichwa wala miguu wote walikuwa na tatizo moja tu hawakutaka Muungano!1

le mutuz
 
- Wote walikuwa hawataki Muungano, wengine walisemea kwenye CCM na wengine walisemea kwenye Bunge la CCM, kwa nini adhabu zao zikawa tofauti? ha! ha! ha! ha! I hope wewe unayoandika hujaambiwa na baba yako au? ha! ha!

le mutuz

Nikuulize kama unazijua haki za mbunge anapokuwa ndani ya bunge au hujui? BTW Baba yangu yu marehemu kitambo tu
 

Safari_ni_Safari ni vizuri umempasha...........
 
- Sio kweli wote walikuwa na tatizo moja hawakutaka Muungano, na wote walisemea kwenye vyombo vya CCM, hakuna aliyeingia kwa kichwa wala miguu wote walikuwa na tatizo moja tu hawakutaka Muungano!1

le mutuz

W. J. Malecela acha kubadili historia ya nchi hii....G-55 walitaka serikali tatu ndani ya Muungano na akina Jumbe na wenzie walitka kujitoa kabisa............ipo tofauti kubwa na hawakuwa wakishirikiana katika madai yao.........
 
Sikubaliani kabisa na hilo...bora aandike tujue moja maana kwani yaliyokuwa yanafanyika ni siri kiasi hicho?By the way we need to balance the story. It would be wise if he writes...
Ndahani Mzee Malecela aliahidi kuandika lakini sijui aliishia wapi?
 

Bongolander Tuko pamoja hapo.........
 
Last edited by a moderator:
W. J. Malecela acha kubadili historia ya nchi hii....G-55 walitaka serikali tatu ndani ya Muungano na akina Jumbe na wenzie walitka kujitoa kabisa............ipo tofauti kubwa na hawakuwa wakishirikiana katika madai yao.........

- Wote hawakutaka Muungano huwezi kuwa na Tanganyika halafu ukawa na Muungano, ndio maana huwa siyapi heshima sana maandishi yako maana huwa hayako sawa una kaagenda flani hivi ambako huna uhakika namna ya kukcheza njoo nikupe darasa maana hayo ndio mambo yangu sana ya namana ya kucheza na agenda kwenye public!!

le mutuz
 

W. J. Malecela ninajitahidi kutokuongelea wewe maana nitakuwa nje ya topic.....................kwa hiyo wataka kutudanganya ya kuwa haiwezekani kuwa na muungano wa serikali tatu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…