The Inner voice: Sauti ndogo iliyo ndani mwetu ikitueleza kusudi la maisha yetu

Very helpful asante mkuu ntajitahd kwenda kupractice
 
Hawa manabil na wachungaji wanatuchukuliaje?? Watu wanauziwa chumvi ya 5 kwa elfu tano ili wakajitakase. Tena chumvi ya kiwandani[emoji38]
Hatari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wengine wanauziwa Leso nyeupe kwa sh. elfu 5, unamkuta mtu anamatatizo na ameaminishwa na kuambiwa kuwa vitamuondolea shida na umasikini alionao. Shida haina adabu kwakweli
 

Interesting.
 
Your extremely blessed [emoji120]
I salute you
 
Kuna uwezekano wa kutokuisikia sauti hii?
If yes sababu ni ipi/zipi?

Sijawahi kuisikia even a single second toka nimejitambua.
My Soul has sentenced with evils probably.
 
Kuna uwezekano wa kutokuisikia sauti hii?
If yes sababu ni ipi/zipi?

Sijawahi kuisikia even a single second toka nimejitambua.
My Soul has sentenced with evils probably.
Kwanza kabisa sauti yako ya ndani inayokutakia mema siku zote ipo ndani nwako na siku zote haichi kukupa mwongozo pindi inapohitaji kukupa mwongozo. Shida inakua Kwamba unakua huisikii sio kwasababu haipo bali kwa sababu ile nafsi isiyokutakia mema inakua inakua ime-manifiest/imeidhibiti hiyo sauti yako ya ndani inayotoka kwa roho wa Mungu

Je roho ya giza inawezaje kudhibiti usisikie sauti ya ndani??

Conscious mind ni sehemu ya Mind ambayo inahusika na kushughulikia yale mambo yote ambayo tunayafahamu either kwa kuona,kusikia au kuhisia, kiufupi Conscious mind inashughulikia yale ambayo yapo katika utambuzi/ufahamu wetu. Ndio maana wewe mwanadamu wa kawaida huwezi kuwaza nje ya vile vitu unavyofahamu kama unabisha jaribu kuwaza kitu ambacho hakipo au hakina ufanano na kitu ulichowahi kuona au kusikia… Conscious mind inajihusisha na memories,perception,feeling, sensation na fantasies zilizomo ndani ya utambuzi wetu, Conscious mind hua inashirikiana na Subconcious mind hivyo basi hua zinataka kufanana maana au ufanyaji wa kazi so chunga zisikuchanganye.

Conscious mind ndio sehemu ambayo mwanadamu hufikiria au ni sehemu ambayo mwandamu anaitumia kuwaza mambo mbalimbali
Shetani/Roho ya giza hudhibiti Conscious mind yako ili isiweze kutambua yako ya ndani na kuipuuza hua anafanya usikilize sauti yake tu na kuitekeleza.

Sio hivyo tu roho ya giza inaweza kuifosi conscious mind yako kuona vitu visivyo halisi..ila kwakua sali lako halipo huku ngoja niishie hapo.


Je ufanyeje kuiskiliza??

Kwanza kabisa mpaka hapo ulipo ushafanikiwa kwa 60% maana umehofu kwamba huisikilizi sauti ya Mungu katika kufanya maamuzi yako. Maana kuna binaadamu wengine yaani hawana hofu kabisa wala hawajali Chochote katika kufanya maamuzi...ndio maana mtu yupo tayari kuiba fedha zilizotengwa na serikali kuboresha zahanati ya kijiji ili wazazi wajifungue salama na wala hawazi wala kujutia jambo hilo.

Nakupongeza hatua muhimu kabisa maana katika hatua za mtu kutubu dhambi kigezo cha kwqnza ni Kujuta na kuhofia dhambi zake alizofanya.
So cha Kwanza kabisa amaua kutoka moyoni mwako Kwamba unataka uisikilize sauti yako ya ndani katika kufanya maamuzi. Lakini pia omba usimamizi na msaada wa Mungu katika kutambua hilo....Hiyo stuck unayoisikia ni vile tu shetani anakuwekea ili usipige hatua na kuendelea kumsikiliza yeye
 
Ahsante sana mkuu.

Nitafanyia kazi japo najua ni kazi ngumu sana sana kuifanya ila nitajitidi niwe huru kuisikia.
 
Maelezo mazuri sana chief.

SWALI:
Je kuna uwezakani mtu kuishi bila ya nafsi ? Nikiwa na maana nafsi yake kua kidnapped spiritually? If yes je inawezekana kuokolewa?
 
Maelezo mazuri sana chief.

SWALI:
Je kuna uwezakani mtu kuishi bila ya nafsi ? Nikiwa na maana nafsi yake kua kidnapped spiritually? If yes je inawezekana kuokolewa?
Ndio kama umetekwa kiroho basi unaweza kurudishwa kiroho kabisa. Hakuna kinachoshindika kama ukiwa na nia thabita
 
Ok.

kwa njia ipi inawezekana?
Naomba uupitie huu uzi Natumaini utapata pa kuanzia. Halafu utauliza penye kuhitaji ufafanuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…