Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Oh yeah....leakers wamo humo humo serikalini.
Hizi ni zama tofauti sana.
Kuficha ficha mambo ambayo yanajumuisha watu wengi ni vigumu sana.
Taarifa zitapenya tu.
Si ajabu ukakuta waliokuwa wanavujisha hizo taarifa ni hao walinzi wa rais....
"Msidanganyike; Mungu hafanyiwi dhihaka. Alichopanda mtu ndicho atakachovuna"(Wagalatia 6:7)Ni wengi sio peke yako ndugu
Ila naamini kweli Mungu yupo na anasikia maombi yetu,hii dunia tunapita tu hakuna atakae ishi milele,pumzi na uhai si mali yetu,tusiishi kama vile sisi ni miungu watu,Hope hili somo limesomeka kwa wengi
kumbe ulishamsoma akipewa mic yeye ni kuwalaumu wasaidizi wake tu.. Pale polisi alimlaumu Simbachawene kuhusu mafao ya wastaafu wa polisi kumbe wizara ilishafanya kila kitu ila hazina (Kwa dotto) ndio wamekalia malipoNi kweli.
Na yeye mgao wake mkubwa tu wa lawama.
Niliwahi kusema kuwa Rais Magufuli hakuwa kiongozi mzuri.Mimi sijawahi iamini serikali toka JPM amekuwa raisi. Serikali ya watu waoga JPM aliitengeneza. JK aliugua tezi dume na taifa tulijulishwa na tukamuombea raisi.
π―%We have nothing material to expect from a garbage in garbage out leadership.
Quick, fast, and in a hurry!Waachiwe huru wote waliokamatwa kwa kusema kwamba magufuli anaumwa maana walikuwa sahihi.
Inafikirisha!Halafu walikuwa wanadai eti wameongea naye?
Hivi alikuwa kwenye hali ya kuweza kuongea na watu kweli au walikuwa wanatudanganya tu?
Unategemea waliopata uongozi kwa "uchafuzi" watakuwa wakweli?Umeongea ukweli.
serekali popote pale duniani inapaswa kuwa mfano wa ukweli.....