Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Ndio hivyo Mkuu, waswahili walishasema kuwa "Lisemwalo lipo Kama halipo basi lipo njiani linakuja".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe sababu za wewe kupata hiyo amani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee wa spana
Leo nimepumzika nyumbani najisikia amani sijawahi kuipata kwa muda sana
Badala ya kufanya mambo ya maana, wanahangaika na mambo ya kipuuzi puuzi tu.
As simple as that!agree "honesty is always the best policy. Just tell people the truth. You don’t have to tell every single solitary detail".
Mtandao si wa kupambana nao. Ni wa kuendana nao.Hakuna binadamu kwa sasa anaweza kudhibiti "information flow" ujue anajisumbua tu.. ni kweli huu ni muda wa Serikali za mataifa hasa ya Africa kujifunza kwamba mambo ya kizamani ya SIRI hayapo tena !!
Lying to the people was the dumbest move anyone could make! The credibility of the VP and the PM has surely gone down the drain!
Yes. To that list of liars.Add Mwigulu Nchemba to that list...
As simple as that!
Hivi wangesema tokea mwanzo kuwa ‘Rais alikuwa hajisikii vizuri, akakimbizwa spitali, na sasa bado yupo huko chini ya uangalizi wa madaktari na wauguzi. Tutaendelea kuwapa taarifa kadri tutavyozipata. Tuendelee kumtakia mema’, kingeharibika nini?
Wangesema hivyo kabla hata Lissu hajahoji Rais yuko wapi, wala wasingehitaji kufanya mambo ya ajabu ajabu kama kukamata watu na kuwatishia.
Ndo akili za wabongo,sasa lisu kaingiaje hapa?This is not about Tundu Lissu.
Mara nyingi sana uongo huwa si wa lazima...tatizo ni waongo, but they are not good at it.
..Na kibaya zaidi, they are VIOLENT to anyone who challenges their lies.
..combination ya UONGO na UKATILI ndiyo tatizo na kasoro kubwa ya utawala huu.
NB:
..wao walitegemea with time wataweza kumrekebisha bwana mkubwa halafu baada ya hapo waanze kuwashughulikia KINYAMA wote waliovujisha habari za ugonjwa wake.
cc MTAZAMO
Mara nyingi sana uongo huwa si wa lazima.
Kwenye hili walikuwa wanamdanganya nani sasa?
Yaani utadhani kuumwa ni jambo la fededha kwa jinsi walivyokuwa wanaficha.
Ni binadamu gani ambaye hawezi ku relate na kuumwa?
Mapuuzi kabisa hayo ma mtu.
According to reliable sources from the system inner core, the President passed away on Wednesday last week the10th of March,2021.Moyo siyo ugonjwa ambao mtu anaweza kufa taratibu.
Magu hakufa jana.
Mkuu tatizo la uongo kwa sisi watanzania ni kubwa sanaItakuwa kafa ghafla,halafu uongo wanausemea kwenye nyumba za ibada