The internet is undefeated: A painful lesson

Ndio hivyo Mkuu, waswahili walishasema kuwa "Lisemwalo lipo Kama halipo basi lipo njiani linakuja".
 
Hakuna binadamu kwa sasa anaweza kudhibiti "information flow" ujue anajisumbua tu.. ni kweli huu ni muda wa Serikali za mataifa hasa ya Africa kujifunza kwamba mambo ya kizamani ya SIRI hayapo tena !!
 
Agree "honesty is always the best policy. Just tell people the truth. You don’t have to tell every single solitary detail".
 
Badala ya kufanya mambo ya maana, wanahangaika na mambo ya kipuuzi puuzi tu.

Kama wao ni wapuuzi unategemea watoe nini zaidi ya upuuzi? Halafu unasema alipata kura 84% azitoe wapi, alikuwa ni muongo na mpika data mkubwa.
 
agree "honesty is always the best policy. Just tell people the truth. You don’t have to tell every single solitary detail".
As simple as that!

Hivi wangesema tokea mwanzo kuwa ‘Rais alikuwa hajisikii vizuri, akakimbizwa spitali, na sasa bado yupo huko chini ya uangalizi wa madaktari na wauguzi. Tutaendelea kuwapa taarifa kadri tutavyozipata. Tuendelee kumtakia mema’, kingeharibika nini?

Wangesema hivyo kabla hata Lissu hajahoji Rais yuko wapi, wala wasingehitaji kufanya mambo ya ajabu ajabu kama kukamata watu na kuwatishia.
 
Hakuna binadamu kwa sasa anaweza kudhibiti "information flow" ujue anajisumbua tu.. ni kweli huu ni muda wa Serikali za mataifa hasa ya Africa kujifunza kwamba mambo ya kizamani ya SIRI hayapo tena !!
Mtandao si wa kupambana nao. Ni wa kuendana nao.
 
Lying to the people was the dumbest move anyone could make! The credibility of the VP and the PM has surely gone down the drain!

..because they are used to lying and not facing any consequences.

..but this time around they lied about something that NATURE took care off.

..huu ungekuwa ni uongo unaohusu matumizi mabaya ya fedha, au mamlaka,... hakuna ambaye angeweza kushindana nao.
 
As simple as that!

Hivi wangesema tokea mwanzo kuwa ‘Rais alikuwa hajisikii vizuri, akakimbizwa spitali, na sasa bado yupo huko chini ya uangalizi wa madaktari na wauguzi. Tutaendelea kuwapa taarifa kadri tutavyozipata. Tuendelee kumtakia mema’, kingeharibika nini?

Wangesema hivyo kabla hata Lissu hajahoji Rais yuko wapi, wala wasingehitaji kufanya mambo ya ajabu ajabu kama kukamata watu na kuwatishia.

..tatizo ni waongo, but they are not good at it.

..Na kibaya zaidi, they are VIOLENT to anyone who challenges their lies.

..combination ya UONGO na UKATILI ndiyo tatizo na kasoro kubwa ya utawala huu.

NB:

..wao walitegemea with time wataweza kumrekebisha bwana mkubwa halafu baada ya hapo waanze kuwashughulikia KINYAMA wote waliovujisha habari za ugonjwa wake.

cc MTAZAMO
 
Mara nyingi sana uongo huwa si wa lazima.

Kwenye hili walikuwa wanamdanganya nani sasa?

Yaani utadhani kuumwa ni jambo la fededha kwa jinsi walivyokuwa wanaficha.

Ni binadamu gani ambaye hawezi ku relate na kuumwa?

Mapuuzi kabisa hayo ma mtu.
 
..tatizo hawa ndugu zetu UONGO wao wanalazimisha.

..yaani ukiwashtukia unakuwa ADUI yao na wanaweza kukudhuru.

..kitu kingine Mama Samia alisema Magufuli alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa miaka karibu 10.

..kwanini wananchi hawakuelezwa ukweli huo, wanakuja kuambiwa wakati kiongozi amekufa?
 
Back
Top Bottom