Yes and I don't why?
Muziki wa huyo kwishney asiwasumbue akili
Anakuja kwa vacation
He is no longer a king of music East Africa hata bongo yenyewe
He is done!
Hivi unadhani anakuja kwa kupenda?, yeye anaitwa na promoters wa Kenya, wao wanatafuta musicians ambao wanakubalika hapo Kenya ili watengeneze pesa, Diamond akichuja mtaona kama kuna promoter atakayemwita, hapendwi mtu bure bure dunia hii.Diamond anapenda Kenya sana. anajua huku ndio kuna pesa. hata mwaka mpya pia ataufungua Kenya.
Kenya ndio entertainment hub ya E&C Africa.
ur immigration haipei hao investors hata nafasi ya kupumuaVery insecure mentality, they are businessmen like Kenyans investors flocking to Tanzania.
Ninyi wakenya ndio sababu hatuelawi na ninyi, Tanzania kuna maelfu ya investors kutoka Kenya, hujasikia mtanzania yoyote anayetaka kutumia hiyo kama point ya kuonyesha kwamba watanzania ni wakarimu kwa wakenya, na kwamba wakenya hawawapendi watanzania. Lakini wanamuziki wa Tanzania wakija Kenya na kufanya vizuri, mnataka kuonyesha kwamba mnawapenda watanzania.
Diamond anapendwa Africa nzima, wakenya kama kweli mnawapenda watanzania by choice, kwanini msiwapende Dudu Baya, Chid Benz, Harmo Rapa, kwani hao sio watanzania?.
Hivi tukisema kwamba investors wa Kenya hawajioni kama wamefanikiwa hadi waje kuwekeza Tanzania, hiyo ni sahihi?. Acheni tabia ya wivu na kujiona ninyi mna upendo zaidi kwa watanzania, Diamond anakuja Kenya kwa kuitwa kwasababu anakubalika na hao promoters they make money out of him.
Kwani hawatoki badala yake wanazidi kuongezeka?, acheni tabia ya "cry baby syndrome". Hilo ndio tatizo kubwa linalosababisha Kenya na Tanzania tusiekewane, ninyi hamna shukurani kabisa, kila kitu mnataka kutengeneza picha kuonyesha Kenya ipo sawa tatizo ni TZ.ur immigration haipei hao investors hata nafasi ya kupumua
Lol. Halafu wanashindwa kulipa bili ya hoteli na wakianguka kama wanaperform inasemekana ni sabotage.kazi ya Babu Tale ni gani? Diamond hana PR Manager au Promoter au Agent mwenye anastruck deals??? wabongolala,,, muache kuniquote upuzi. it's a win-win situation
Hamna kiti kama hichoHaujamwelewa nafikiri.
Alichomaanisha ni kwamba ili msanii wa Tz ajione kafanikiwa kimuziki ni lazima apafom Kenya.
Not even a huge percentage, hizi kelele za mitandaoni ni 0.000...1% ya watz. We're a peacefull loving people but hatupendi dharau na kupandiwa kichwani, sasa wakenya mnawadharau sana Tz tokea kitambo, a small section that is aware of these dharau zenu towards Tz ndio wanawahate mbaya.boss not all tanzanians hate us ,but a huge percentage like to discriminate against kenyans. mnajifanyanga maracists sana
Tanzania kashazunguka nchi nzima na wasafi festival ww unaongea nn πππ
It is strictly business! PromotErs also make money!
Ahahhahah huyo ni wakimataifa na kashachukua pesa nyingi sana nchi nyingi so usijipe moyo subiri uone balaa la wasafi festival funga dimba dar ndio utajuaπππHuko Tanzania hamna kitu zaidi ya kumuibia chain na mengine, mlivyo majizi nyie. Wacha aje Kenya ambapo huwa tunawalea wasanii wenu.
Huko Tanzania hamna kitu zaidi ya kumuibia chain na mengine, mlivyo majizi nyie. Wacha aje Kenya ambapo huwa tunawalea wasanii wenu.
kazi ya Babu Tale ni gani? Diamond hana PR Manager au Promoter au Agent mwenye anastruck deals??? wabongolala,,, muache kuniquote upuzi. it's a win-win situation
Yes and I don't why?
Muziki wa huyo kwishney asiwasumbue akili
Anakuja kwa vacation
He is no longer a king of music East Africa hata bongo yenyewe
He is done!
Ahahhahah huyo ni wakimataifa na kashachukua pesa nyingi sana nchi nyingi so usijipe moyo subiri uone balaa la wasafi festival funga dimba dar ndio utajuaπππ
No way budaa kwa hilo umekosea ππSasa tatizo kwenu akipiga tour mnamuibia.....
No way budaa kwa hilo umekosea ππ
Kwanza sikiliza king kaachiw mkwaju hatariiiππππππ
Mkuu MK punguza siasa,Diamond amepambana hadi amefika hapo alipo, na nyie mpambane sio kumsubiri na kumuibia ibia
Hebu ona alikoanzia kipindi anaimba 'Nitarejea'