The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Nilikua sojaiona hii, tatizo hua sikati tamaa. nimetafiti na kugundua kwamba Ghana wana vibuyu vikali zaidi ya vya Msata. Nipo kwenye service ya Baja yangu lazima mrembo abadili kibao
 
Mganga wako ndan ya penzi zito ukweli tunaujua ss wenyewe
 
Mshana fitina ulizotumia sio za nchi hii ...yaani ulivyogundua namnyemelea 'cha mdeko' ukaamua utumie mpaka vitunguli ili anisahau.
Tena hizo tunguli zimeshanipeleka mpaka Msata na kuku ameshaliwa ukiona manyoya ujueee.............
 
Nilikua sojaiona hii, tatizo hua sikati tamaa. nimetafiti na kugundua kwamba Ghana wana vibuyu vikali zaidi ya vya Msata. Nipo kwenye service ya Baja yangu lazima mrembo abadili kibao
[emoji3][emoji3][emoji3]aiseeee kumbe tutaona sasa maana nalindwa na tunguli za hatar sijui sasa kama za kwako zitafua dafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…