mzeewangese
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 643
- 499
Babu kila kitu empt set unazinguaSiku zote nimekuwa najiuliza inakuwaje mwanaume unatumia 'viemojiemoji' vya udaku kama kina mwanahamisi..ila leo uzi huu umenasibisha jinsi akili yako ilivyo cheketuliwa..empty set kabisa
Mama Sabrina lile buzi umeshalimiki ee.Raha sana kupendwaa ,,ukipendwa shikana mama kupemdwa bahatii
Alaaaa zamani tu na lishadondoka nchini hapa raha mwili mzimaMama Sabrina lile buzi umeshalimiki ee.
Nitumie bundle my love nikufungulie siredi humu. Uliebahatika.Mzigua na mimi nifungulie sred basii angalau na mimi nijisikie furaha kidogo, japo kunidanganya danganya.
Vimshahara vyangu vyote utakua unanipangia matumizi wewe.
Kweli maana nilikua sikuoni mda mrefu ...nilikua nakunyapia nyapia, ila siku hizi nataka niwekeze kwa Mzigua maana hip mguu wa bia yaani nahisi kudata tena mara hii namtoa out full mavyakula na masoda kama anatumia.Alaaaa zamani tu na lishadondoka nchini hapa raha mwili mzima
Huoni nimepotea poteaa humu
Hahaha unaona hauna wema na mimi maana unashindwa kunifungulia wakati unachat au hilo bando kwa ajili yangu.Nitumie bundle my love nikufungulie siredi humu. Uliebahatika.
Yep nipo nafyatuliwa tu ndio maana hata simu nasahauKweli maana nilikua sikuoni mda mrefu ...nilikua nakunyapia nyapia, ila siku hizi nataka niwekeze kwa Mzigua maana hip mguu wa bia yaani nahisi kudata tena mara hii namtoa out full mavyakula na masoda kama anatumia.
Sasa nafungua siredi halafu nasemaje? Niandikie vya kuandika pm nije niweke kwenye thiledi bbyHahaha unaona hauna wema na mimi maana unashindwa kunifungulia wakati unachat au hilo bando kwa ajili yangu.
Basi nifanyie maarifa kwa Mzigua maana mimi siwezi kumwambia naogopa.Yep nipo nafyatuliwa tu ndio maana hata simu nasahau
Ulikuwa unanyapia mwenzio akawah mazima ,kuna watu hawataki mchezo aisee safari hii nimepatikana haswa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Basi nifanyie maarifa kwa Mzigua maana mimi siwezi kumwambia naogopa.
Mpe hela tu hapo atakuweka namba moja na utawazidi wengine atakupandisha namba 1Basi nifanyie maarifa kwa Mzigua maana mimi siwezi kumwambia naogopa.
Sasa bby kila mtu si ana moyo wake ...ntajuaje unavyonipenda mie basi nitumie wewe bando nijitose niteme cheche yatokanayo na moyo wangu.Sasa nafungua siredi halafu nasemaje? Niandikie vya kuandika pm nije niweke kwenye thiledi bby
Hataki hela..Mpe hela tu hapo atakuweka namba moja na utawazidi wengine atakupandisha namba 1
Nimeshatuma bby ya 5000 kwenye namba yako ya Voda. Anza kutiririkaSasa bby kila mtu si ana moyo wake ...ntajuaje unavyonipenda mie basi nitumie wewe bando nijitose niteme cheche yatokanayo na moyo wangu.
Mmmh isijekuwa umemtumia Mr Miller si unajua zinafanana...Nimeshatuma bby ya 5000 kwenye namba yako ya Voda. Anza kutiririka
Kwa sababu unanipaga mwenyewe unaona sikuombi ndo unajua sitaki eeh? Siku usinipe uone kama nataka au sitaki.Hataki hela..
Ya Mr Miller ni 764 yako ni 765 sijachanganya hapoMmmh isijekuwa umemtumia Mr Miller si unajua zinafanana...