The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

Siku zote nimekuwa najiuliza inakuwaje mwanaume unatumia 'viemojiemoji' vya udaku kama kina mwanahamisi..ila leo uzi huu umenasibisha jinsi akili yako ilivyo cheketuliwa..empty set kabisa
Babu kila kitu empt set unazingua
 
Kweli maana nilikua sikuoni mda mrefu ...nilikua nakunyapia nyapia, ila siku hizi nataka niwekeze kwa Mzigua maana hip mguu wa bia yaani nahisi kudata tena mara hii namtoa out full mavyakula na masoda kama anatumia.
Yep nipo nafyatuliwa tu ndio maana hata simu nasahau
Ulikuwa unanyapia mwenzio akawah mazima ,kuna watu hawataki mchezo aisee safari hii nimepatikana haswa
 
Back
Top Bottom