The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

Inamaana mshana umejitolea kuzimia kama bonge?
Halafu Demiss inamaana gudume ndo basi tena?

Hongereni
Ni mwanaume ambaye anaweza kuhimili viuno vyanguuuu

Mshana peke yakeeeeee[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
The happiest day ever.. Sensational n very romantic.... Its official announcement kwamba from today miss Demiss (chamdeko) is officially known as Mrs Jr[emoji769]
Napenda kudekewa na mtoto anajua kudeka! Napenda kuringiwa! Chamdeko ana hicho kipawa.. Napenda rangi ya dhahabu, vidole vya kike na lips [emoji182] zake! Sijayataja macho, mguu wa hadhi kishoes next level... Kiuno nyonga je? Asikwambie mtu mungu fundi na kalithibitisha hilo kwa the only one I truly adore.... That's Demiss chamdeko officially known as Mrs Jr
Karibu kinda langu unidekee mpaka roho zipate jakamoyo... Usijali mkubwa Angel Nylon katoa kibali kusaidiwa majukumu
Its only you Demiss... You know the feeling we have between our internal soulsView attachment 710174
Whaat .me sikubali hata kidogo.ukioa mke mdogo bila bi mkubwa kukubali hyo ni kharamu
 
ikiwa na vijiraka vidogo vidogo vilivyozibwa na LAMI!!!
image_search_1520698154454.jpeg
 
Back
Top Bottom