Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikuulize swali mkuuWatasubiri sana lovie
Anataka kuidukuaKhaa kaniandikia mimi wewe
HatarAiseeee
Hatar
Hakuna shida kaka. . Sorry Nadhani nlikusoma vibaya nikaelewa tofauti. Very sorry kwa kuuliza swali linaloonekana la kizushiNdio Ndugu Yangu Mim Ni Mwanaume Vp Kwan...??
Ukiondoa mapambio yote uliyomsifia demiss naomba kukuuliza maswali yafuatayo;Karibu
Naomba nikuulize cha mdeko!Anataka kuidukua
Usjali utapata tu unayoyatamanMapenzi mubashara[emoji7][emoji7]
Nikiwa mkubwa ntakua kama Jr[emoji769]
Uliza alafu nan kaniandika uzi kunisema jaman mbn hamjanitagNaomba nikuulize cha mdeko!
Hilo la namba moja nalihitaji sanaa liko wapiiiUkiondoa mapambio yote uliyomsifia demiss naomba kukuuliza maswali yafuatayo;
1,kuna mdau hapa kaweka nyuzi kadhaa za demiss zinazotia shaka kuhusu maadili yake, mf kutoa siri za chumbani hadharani
Je umejipangaje usije kuachwa uchi hapa one day!
2,pili ni vigezo vipi unadhani umekidhi matamanio ya demiss,kiasi kuwa hatakuacha kama mapeshee wengine aliokuwa nao!
3,humu ndani kuna wakongwe kibao ambao ulikuwa nao jf for years, kwanini hukuwaona wao,na turufu yako kumuangukia member mpya asiye hata na mwaka 1 humu!
Nahitaji majibu sahihi kama ni reality na si utopian love!
Nitarudi na mengine!
Frankly speaking is this love real!?Uliza alafu nan kaniandika uzi kunisema jaman mbn hamjanitag
Uzi mrefu pitiaHilo la namba moja nalihitaji sanaa liko wapiii
Jr ni mwanaume anayetambua nn maana ya kumpenda mwanamke.Frankly speaking is this love real!?
Nipm
Kama ni real nini kimevutia kwa mwanaume ambaye ni mortuary attendant!
Jr ni mwanaume anayetambua nn maana ya kumpenda mwanamke.Frankly speaking is this love real!?
Nipm
Kama ni real nini kimevutia kwa mwanaume ambaye ni mortuary attendant!
Jukwaaa ganUzi mrefu pitia
Kwa muda gani umemjua Jr kinagaubaga hivi!.Jr ni mwanaume anayetambua nn maana ya kumpenda mwanamke.
Jr anajua jinsi ya kuishi na mwanamke ktj mahusiano.
Jr anajua kupendaa anajua kumtreat mwanamke ampendayeee.
Jr ni mwanaume mwenye uelewa mpana katika kung'amua mambo na kuyatathmini.
Jr ni mwanaume wa tofauti sana ana uwezo wa kukuweka katika hali ambayo hukutegemea anasolve matatizo yanayomkabili mwanamke kwa uelewa wa hali ya juuu.
Ni mwanaume anayeelewa thamani ya mwanamke aliyenaye kifupi anajua kuishi katika dunia ya mahusianonkwa hali isiyoelezeka .
Amekamilika kila idara kuanzia kudekezaa na kunielimisha juu ya maisha .
[emoji23][emoji23][emoji23]mm siwez kusema kama ni revenge lakini kama atachukulia hivyo ni fikra zakeee tu zitakuwa zimemtuma.Kwa muda gani umemjua Jr kinagaubaga hivi!.
Usitake niamini kipindi chote ulichokuwa mkiwa baada ya kuachwa na ex wako,Jr alikuwa mfariji wako pm!
Uliwahi dokeza kuwa ex wako ni member Wa jf,is this kind of revenge or payback!?