The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Huenda jamaaa ana matatizo ya kitabia.
Hata timu ya taifa kwenye michuano ya kombe la dunia aliondolewa kikosi cha kwanza
Cancelo ame drop sana baada ya kutoka Qatar.

Hata baada ya Ake ku prove kuwa anaweza ku cover nafasi yake, bado alikuwa anapewa nafasi ya kuanza kwenye baadhi ya game ili kurudisha confidence yake lakini akawa hana impact.

Alivyokuwa anakaa benchi akaanza kumvimbia pep, na pep hana muda wa kuangaika na mchezaji ndio yamekuwa haya.
 
FC Bayern are closing in on deal to sign João Cancelo from Manchester City on loan, as first called by @David_Ornstein — agreement at final stages between the two clubs! [emoji599][emoji837] #FCBayern

Manchester City are prepared to let Cancelo leave as player has already accepted Bayern.
 
Kwenye left back ndio huwa hatuna bahati kabisa.

Ukiangalia toka pep kaja ukiacha last season, amekuwa anatumia unnatural left backs au center backs.

Fabian delph-CB
Aymeric laporte-CB
Danilo-RB
Ake -CB
Akanji- CB


Sasa hivi zinchenko kauzwa na cancelo ndio hivyo, maana yake tunarudi kwenye zama zile za kutegemea center backs kwenye left back.
 
Title race ndo imeisha ivyo ndugu zangu
 
Nategemea kina Txiki wataupiga mwingi summer kwenye transfer window kama hao wataondoka.

Probably cancelo atauzwa ili kupata pesa ya kuleta left back mwingine, tutahitaji long term replacement ya gundogan ( probably bellingham), pamoja na kiungo mwingine mmoja kiraka.

Tunahitaji na kuongeza winga mwingine pia kwasababu mahrez ni 30+(probably Leao/khvicha).
 
Title race ndo imeisha ivyo ndugu zangu
Mkuu, kuna mechi 18 zimebaki, gap ni point 5 mkiwa nyuma kwa mechi 1 dhidi yetu. Let's assume it's 8.

Kilichotutofautisha ni ari ya upambanaji kwa wachezaji si kingine. Arsenal mko juu kwenye hilo.

Tunachokitafuta kwa sasa ni rythm yetu ya misimu yote.

With it, tunayo timu ya kwenda 12+ games win najua hata wewe unaelewa hilo.

Mechi ijayo tuna tottenham, inaweza kutupa mwanga zaidi kuhusu future yetu.
 
Iyo 12+ win sio kwa msimu huu, hamna iyo timu acheni kukariri vitu
 
Cancelo ni CL material....


Sasa Kwa back Line za kina stone , Laporte,akanji ,Rico .....harafu unataka CL si utani mazee .....


Maana hata walker Kwa Sasa hana maelewano mazuri uwanjani ,mfumo wa pep unamkataa...
 
Iyo 12+ win sio kwa msimu huu, hamna iyo timu acheni kukariri vitu
Timu ya kwenda 12 + win ni ile ya kina aguero ,sane , sterling wa motooo.....

Sasa hii front line ya grealish - haaland - Mahrez - foden .....Bado sanaaa,.....

Ndio maana Kwa Sasa kule mbele kupeleka mashambulizi sio Sana ,hatuna front 3 kalii , grealish anapoza mashambulizi ,Mahrez ni mtu wa kukumbatia mpira ,haaland bila cross kumpeleka ni majanga ....shots on target ndio maana tunamaliza game ni chache .....
 
[emoji599][emoji2422] João Cancelo reacted angrily when he learned he wasn't in the Manchester City starting XI vs Arsenal on Friday. He threatened to leave the club and he was told he could go. [Daily Mail Sport]
 
[emoji860] João Cancelo speaking February 2022: "There is nowhere better to play football than Man City and it’s a pleasure to work here. I have so much I want to achieve before my career ends, and City offers me the best chance of fulfilling my ambitions."
 
Joao Cancelo reacted angrily with Pep Guardiola in training when he found out that he would not start against Arsenal in the FA Cup.

Subsequently, Guardiola asked Cancelo to leave the club if he is not satisfied enough, reports Daily Mail. [emoji15][emoji777]

#Cancelo #ManchesterCity
 
Pep no kiazi sana
Pep ni jeuri Toka Yuko Barcelona...

Boss ni boss tu

BREAKING AND GOOD NEWS [[emoji599][emoji954]]: Manchester City are preparing a £35m bid for Fulham left-back Antonee Robinson

[emoji404] They believe its the best option they have and believe a deal can be agreed without 24 hours - it's a race against the clock go City

(Sky Sports Football Via talkSPORT ]
 
Pep believe the system not player ,ndio maana mchezaji yeyote akitaka kuondoka anamuacha tu aendee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…