Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Cancelo ame drop sana baada ya kutoka Qatar.Huenda jamaaa ana matatizo ya kitabia.
Hata timu ya taifa kwenye michuano ya kombe la dunia aliondolewa kikosi cha kwanza
Hata baada ya Ake ku prove kuwa anaweza ku cover nafasi yake, bado alikuwa anapewa nafasi ya kuanza kwenye baadhi ya game ili kurudisha confidence yake lakini akawa hana impact.
Alivyokuwa anakaa benchi akaanza kumvimbia pep, na pep hana muda wa kuangaika na mchezaji ndio yamekuwa haya.