Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 853
The problem is, haaland anakuwa isolated all the time sababu mahrez na grealish wanakuwa bize wide.Pep anataka ball retention kuliko agressive play, sidhani kama foden ataanza.
Pep anataka ball retention ili kuzima pressure ya leipzig, kwaiyo kwenye wings naona ataenda na Grealish na Mahrez ambao wako possessive kuliko foden.
Kdb ataanza ili kuongeza mashambulizi golini kwa leipzig though pass accuracy yake imeshuka kwa siku za hivi karibuni.
Kama mwaka Jana tulikuwa weak defence ,basi mwaka huu ndio hatuna ukuta wowote ...Pain killer hivi ni mpira upi ambao wewe huwa unaangalia?
Yani city ya msimu uliopita inapigwa goli 10 ndani ya mechi 6 za makundi unasema ina solid defence?
Unasema mechi ya madrid tulikosa bahati?! Sawa tuseme tulikosa bahati, vipi kama tungeshinda 4:0 au 4:1 first leg hiyo bahati bado tungeikosa? Hiyo 4:3 ilikuwa ya nin kama kweli tulikuwa na solid defence?
Madrid wametupiga goli 6 ndani ya mechi mbili halafu unasema tulikuwa na solid defence, solid defence ipi duniani inavuja ivyo?
Narudia kusema hivi, kwenye uefa haijalishi unafunga magoli mangap, kinachomatter ni unawezaje kulinda magoli unayopata, timu zote zinazobeba uefa zinapita kwenye kanuni hii, man city defence ilikuwa mbovu group stage yote hakuna hata clean sheet 1, timu inashinda 4:3 mara 6:4, 3:2 halafu unaisifia na tena kwenye uefa bora ingekuwa ligi tunasema cha muhimu point 3.
Kama hiyo ndio solid defence kwa mtazamo wako basi sawa.
Ngoja tuone mzee ataanzaje.The problem is, haaland anakuwa isolated all the time sababu mahrez na grealish wanakuwa bize wide.
Foden yeye anakuwa anaingia kwenye box ku add numbers. Hii inasaidia pale haaland anapokuwa marked kuna kuwa na mtu wa kumsaidia.
Sidhani kama atakuwa boya kiasi hicho ngoja tuone.Kupigwa na leipzig leo ni zaidi ya aibu, tuue game chap tukamsubili anaekuja.
Cha muhim kipara asi overthink, tupia ordinary back four pale nyuma, namba 2 aanze na walker ili kuendana na pace ya werner, maana unaweza shangaa kaanza na stones.
Mi naandika kwa takwimu wewe unaandika kwa mihemko.Kama mwaka Jana tulikuwa weak defence ,basi mwaka huu ndio hatuna ukuta wowote ...
Tulimtoa atletico madridi wa agg ya 1-0 ,unajua game ya kule Spain ilivokuwa tight mpaka wakala red card ,unafikili city ya Sasa inaweza kuhimili ile intensity y....
Mwaka Jana tulikuwa na ukuta bana ...
Kufungwa na madridi goli 6-5 haiondoi kuwa tulikuwa na ukuta ,Kwa sababu tunacheza na timu yenye washambuliaji hatari dunian ,vin ,benzema ,modric ,....harafu useme kufungwa nao ni weak defence ....
Leo nilihisi hiki kitu.Sidhani kama atakuwa boya kiasi hicho ngoja tuone.
Kama nilivyosema, pep Leo atahutaji kuwa na ball retention zaidi ndio maana kajaza midfielders. Hapo kwa stones sikutegemea kabisa dah mzee anatuchoma huyu .Leo nilihisi hiki kitu.
Kaanza na pure center backs kwenye backline yote, sijui anawaza nini huyu mzee.
Msimu wa mwaka Jana ....Mi naandika kwa takwimu wewe unaandika kwa mihemko.
City msimu uliopita kwenye hatua kama hii uefa ilikuwa imeshapigwa goli 10, msimu huu mpaka sasa ni gol 3 tu, msimu uliopita city kwenye group stage yote ilikuwa na clean sheet 0, msimu huu clean sheet 4.
Sasa nawewe lete takwimu zinazoonyesha kwamba city ilikuwa imara defensively msimu uliopita sio unaandika kwa mihemko.
Mkuu hatuongelei kuwafunga ama kutowafunga, tunaongelea defensive perfomance, dah em tucheki gem kwanza.Msimu wa mwaka Jana ....
Round ya 16
Lisbon 0- man city 5
Man city 0-0 Lisbon
Tukaingia robo final vs atletico Madrid
Man city 1-0 atletico Madrid
Atletico Madrid 0-0 man city
Tukaingia nusu final na real Madrid
Man city 4-3 real Madrid
Real Madrid 2-1man city
Extra time : aggregate 6-5
Tukatolewa CL ....
Huo ndio ulikuwa mwendo CL 2021/2022
Group stage tulikuwa na
Man city
Psg
RB Leipzig
Club brudge
Game zote za nyumbani tulishinda ,tulifingwa na psg tu kwake 2-0 ,akaje home tukamfunga 2-1 ,wengine wote tuliwafunga ,,,,...