Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 853
The problem is, haaland anakuwa isolated all the time sababu mahrez na grealish wanakuwa bize wide.Pep anataka ball retention kuliko agressive play, sidhani kama foden ataanza.
Pep anataka ball retention ili kuzima pressure ya leipzig, kwaiyo kwenye wings naona ataenda na Grealish na Mahrez ambao wako possessive kuliko foden.
Kdb ataanza ili kuongeza mashambulizi golini kwa leipzig though pass accuracy yake imeshuka kwa siku za hivi karibuni.
Foden yeye anakuwa anaingia kwenye box ku add numbers. Hii inasaidia pale haaland anapokuwa marked kuna kuwa na mtu wa kumsaidia.