The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Pep anataka ball retention kuliko agressive play, sidhani kama foden ataanza.

Pep anataka ball retention ili kuzima pressure ya leipzig, kwaiyo kwenye wings naona ataenda na Grealish na Mahrez ambao wako possessive kuliko foden.

Kdb ataanza ili kuongeza mashambulizi golini kwa leipzig though pass accuracy yake imeshuka kwa siku za hivi karibuni.
The problem is, haaland anakuwa isolated all the time sababu mahrez na grealish wanakuwa bize wide.

Foden yeye anakuwa anaingia kwenye box ku add numbers. Hii inasaidia pale haaland anapokuwa marked kuna kuwa na mtu wa kumsaidia.
 
Pain killer hivi ni mpira upi ambao wewe huwa unaangalia?
Yani city ya msimu uliopita inapigwa goli 10 ndani ya mechi 6 za makundi unasema ina solid defence?

Unasema mechi ya madrid tulikosa bahati?! Sawa tuseme tulikosa bahati, vipi kama tungeshinda 4:0 au 4:1 first leg hiyo bahati bado tungeikosa? Hiyo 4:3 ilikuwa ya nin kama kweli tulikuwa na solid defence?

Madrid wametupiga goli 6 ndani ya mechi mbili halafu unasema tulikuwa na solid defence, solid defence ipi duniani inavuja ivyo?

Narudia kusema hivi, kwenye uefa haijalishi unafunga magoli mangap, kinachomatter ni unawezaje kulinda magoli unayopata, timu zote zinazobeba uefa zinapita kwenye kanuni hii, man city defence ilikuwa mbovu group stage yote hakuna hata clean sheet 1, timu inashinda 4:3 mara 6:4, 3:2 halafu unaisifia na tena kwenye uefa bora ingekuwa ligi tunasema cha muhimu point 3.

Kama hiyo ndio solid defence kwa mtazamo wako basi sawa.
Kama mwaka Jana tulikuwa weak defence ,basi mwaka huu ndio hatuna ukuta wowote ...

Tulimtoa atletico madridi wa agg ya 1-0 ,unajua game ya kule Spain ilivokuwa tight mpaka wakala red card ,unafikili city ya Sasa inaweza kuhimili ile intensity y....

Mwaka Jana tulikuwa na ukuta bana ...

Kufungwa na madridi goli 6-5 haiondoi kuwa tulikuwa na ukuta ,Kwa sababu tunacheza na timu yenye washambuliaji hatari dunian ,vin ,benzema ,modric ,....harafu useme kufungwa nao ni weak defence ....
 
Wanaosema kdb kazeeka [emoji3]

🫀 Kevin De Bruyne: "I'm a perfectionist. Whatever I do, football or normal life, whatever I do, I want to do 100%..."

🫀 "I'm not going to be fully the same. In 17/18, I played more holding. For the national team, I played five years more holding. I've no idea, people say when you get older you go lower. For me it's opposite..."

🫀 "I'm not an old man. I'm sorry for you guys, journalists, but I'm pretty young. No offense..."
 
The problem is, haaland anakuwa isolated all the time sababu mahrez na grealish wanakuwa bize wide.

Foden yeye anakuwa anaingia kwenye box ku add numbers. Hii inasaidia pale haaland anapokuwa marked kuna kuwa na mtu wa kumsaidia.
Ngoja tuone mzee ataanzaje.
 
No foden ,no Mahrez

Another pep overthinking
FB_IMG_16788198598459468.jpg
 
Kupigwa na leipzig leo ni zaidi ya aibu, tuue game chap tukamsubili anaekuja.

Cha muhim kipara asi overthink, tupia ordinary back four pale nyuma, namba 2 aanze na walker ili kuendana na pace ya werner, maana unaweza shangaa kaanza na stones.
Sidhani kama atakuwa boya kiasi hicho ngoja tuone.
 
Kama mwaka Jana tulikuwa weak defence ,basi mwaka huu ndio hatuna ukuta wowote ...

Tulimtoa atletico madridi wa agg ya 1-0 ,unajua game ya kule Spain ilivokuwa tight mpaka wakala red card ,unafikili city ya Sasa inaweza kuhimili ile intensity y....

Mwaka Jana tulikuwa na ukuta bana ...

Kufungwa na madridi goli 6-5 haiondoi kuwa tulikuwa na ukuta ,Kwa sababu tunacheza na timu yenye washambuliaji hatari dunian ,vin ,benzema ,modric ,....harafu useme kufungwa nao ni weak defence ....
Mi naandika kwa takwimu wewe unaandika kwa mihemko.

City msimu uliopita kwenye hatua kama hii uefa ilikuwa imeshapigwa goli 10, msimu huu mpaka sasa ni gol 3 tu, msimu uliopita city kwenye group stage yote ilikuwa na clean sheet 0, msimu huu clean sheet 4.
Sasa nawewe lete takwimu zinazoonyesha kwamba city ilikuwa imara defensively msimu uliopita sio unaandika kwa mihemko.
 
Leo nilihisi hiki kitu.
Kaanza na pure center backs kwenye backline yote, sijui anawaza nini huyu mzee.
Kama nilivyosema, pep Leo atahutaji kuwa na ball retention zaidi ndio maana kajaza midfielders. Hapo kwa stones sikutegemea kabisa dah mzee anatuchoma huyu .
 
Anyway in pep we believe, let's get them.

We are the cityzens.
 
Mi naandika kwa takwimu wewe unaandika kwa mihemko.

City msimu uliopita kwenye hatua kama hii uefa ilikuwa imeshapigwa goli 10, msimu huu mpaka sasa ni gol 3 tu, msimu uliopita city kwenye group stage yote ilikuwa na clean sheet 0, msimu huu clean sheet 4.
Sasa nawewe lete takwimu zinazoonyesha kwamba city ilikuwa imara defensively msimu uliopita sio unaandika kwa mihemko.
Msimu wa mwaka Jana ....

Round ya 16

Lisbon 0- man city 5

Man city 0-0 Lisbon

Tukaingia robo final vs atletico Madrid

Man city 1-0 atletico Madrid

Atletico Madrid 0-0 man city

Tukaingia nusu final na real Madrid

Man city 4-3 real Madrid

Real Madrid 2-1man city

Extra time : aggregate 6-5

Tukatolewa CL ....

Huo ndio ulikuwa mwendo CL 2021/2022

Group stage tulikuwa na

Man city
Psg
RB Leipzig
Club brudge

Game zote za nyumbani tulishinda ,tulifingwa na psg tu kwake 2-0 ,akaje home tukamfunga 2-1 ,wengine wote tuliwafunga ,,,,...

Game ambayo tuliruhusu goli nyingi ni lepzig tu 6-3 ,....

Mpaka hapo unataka kusema mwaka Jana hatukuwa na solid defence CL ....

Any way kila mtu aamini anavojua ....
 
Msimu wa mwaka Jana ....

Round ya 16

Lisbon 0- man city 5

Man city 0-0 Lisbon

Tukaingia robo final vs atletico Madrid

Man city 1-0 atletico Madrid

Atletico Madrid 0-0 man city

Tukaingia nusu final na real Madrid

Man city 4-3 real Madrid

Real Madrid 2-1man city

Extra time : aggregate 6-5

Tukatolewa CL ....

Huo ndio ulikuwa mwendo CL 2021/2022

Group stage tulikuwa na

Man city
Psg
RB Leipzig
Club brudge

Game zote za nyumbani tulishinda ,tulifingwa na psg tu kwake 2-0 ,akaje home tukamfunga 2-1 ,wengine wote tuliwafunga ,,,,...
Mkuu hatuongelei kuwafunga ama kutowafunga, tunaongelea defensive perfomance, dah em tucheki gem kwanza.
 
Back
Top Bottom