A deserved goal for jack grealish.
BARCA??Wiki ijayo n zamu ya barca kufaaaaa
Hahaha hahaha hahahaFlano , kwa niaba ya mashabiki wenzangu wa city, tunawaomba radhi mashabiki wote wa nyumbu kwa kushindwa kukamilisha kazi mliyotutuma ya kuwalipia zile goli 7.
Tumejitahidi kadri ya uwezo wetu lakini imeshindikana.
Tunawaomba mpokee hiki kidogo tulichopatà huku tukiomba msamaha kwa kuwaangusha.
Barca kivipi mkuu?Wiki ijayo n zamu ya barca kufaaaaa
A real definition of attacking football.Pira limetembea leo mmh hapana kwakweli.