The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Naomba watuletee tu timu nyingine, hapa hakuna timu ni wale wale tu wa kupigwa goli 7
 
Nilikua naumwa kichwa ila kwa mpira huu nimepona ghafla.

Huu mpira hata kama unaumwa Kansa unapona hapohapo
 
Arteta tunakungoja nawewe nadhani umeona yaliyompata kuku karibu sana Etihad Air Ways.
 
Flano , kwa niaba ya mashabiki wenzangu wa city, tunawaomba radhi mashabiki wote wa nyumbu kwa kushindwa kukamilisha kazi mliyotutuma ya kuwalipia zile goli 7.

Tumejitahidi kadri ya uwezo wetu lakini imeshindikana.

Tunawaomba mpokee hiki kidogo tulichopatà huku tukiomba msamaha kwa kuwaangusha.
 
Hahaha hahaha hahaha
 
Back
Top Bottom