Tuache kumlaumu kipa, kazi ya ulinzi ni collective huwezi ukamlaumu kipa kama mabeki wanazingua.Hiki kitu hata mimi nilishakiongea humu..city tungekuwa na shot stopper aina ya curtois, allison, cech, van der saar, de gea, mendy tungekuwa na uefa walau moja japo bahati mbaya ni kuwa asilimia kubwa ya makipa wa aina hiyo sio wazuri kwenye collective build up na hawana excellent footwork lakini angalau wanaweza kufanya majukumu yao ya msingi kabisa, kulinda goli.
With ederson ni kama vile huwa tunacheza 11 uwanjani bila kipa.
Mkuu unatakiwa utambue kwamba kwenye mpira hata uwe na ukuta mgumu vipi, lazima timu pinzani zitapata nafasi ya kukusalimia golini, kuna muda mabeki watafanya kazi yao to the limit na maarifa ya kipa ndio yatakuwa tegemeo la mwisho.Tuache kumlaumu kipa, kazi ya ulinzi ni collective huwezi ukamlaumu kipa kama mabeki wanazingua.
You're right but timu inapocheza high line, nyuma inaacha space kubwa ambapo kama kwa bahati mbaya mkipoteza mpira kwenye half ya mpinzani na wakapiga long balls nyuma ya defence na mabeki ni wazito kukimbia, hapo ni kipa pekee ndio anakuwa kabeba matumaini ya timu.Tuache kumlaumu kipa, kazi ya ulinzi ni collective huwezi ukamlaumu kipa kama mabeki wanazingua.
Ukiangalia city huwa tunatolewa kwa kufungwa idadi kubwa ya magoli.Hiki kitu hata mimi nilishakiongea humu..city tungekuwa na shot stopper aina ya curtois, allison, cech, van der saar, de gea, mendy tungekuwa na uefa walau moja japo bahati mbaya ni kuwa asilimia kubwa ya makipa wa aina hiyo sio wazuri kwenye collective build up na hawana excellent footwork lakini angalau wanaweza kufanya majukumu yao ya msingi kabisa, kulinda goli.
With ederson ni kama vile huwa tunacheza 11 uwanjani bila kipa.
SawaSubiri uone Bayern anavyopikwa
Ndio gundu lenyeweSio gundu, kitu pekee kinachomuangusha ni namna anavyodefend.
Yap yap, dias na stones wabaki kuwa wanamlinda ederson, ake na walker wanakamata fullback, then badala ya fullback kuwa anapanda kwenda kupatner na rodri, gundo ndio awe anashuka kuja kusaidia kusambaza mipira kwenda kwa kina kdb,mahrez na grealish.Silaha kubwa ya Tuchel huwa ni mawinga.
Leo tutashika dimba lakini wao watashika channels za pempeni kwa kuwadeploy watu wenye kasi kama leroy sane, sadio mane au kingsley coman hivyo leo sitegemei kama pep atachezesha back 3.
Rodri akicheza kama single pivot inatosha coz the more tutarundika watu katikati the more tutakuwa weak kwenye flanks ukizingatia mabeki wetu hawana kasi.
Nategemea kwenye moyo wa safu ya ulinzi ataanza Dias na Stones.
Viking mode
Mechi zake mbili za mwisho kukutana na city kapigika zote.CLASH OF THE TITANS.
MAN CITY vs BAYERN MUNICH
Kwa maoni yangu tukiweza kumtoa bayern, sioni madrid au chelsea kama watatuzuia, Tuchel ndio mtesi wetu kwenye knockout games.
Alitutoa FA akatufunga na fainali ya uefa.
Hizi mechi mbili za bayern ndio test kubwa kwetu na tukiweza kwenda ujerumani na faida ya magoli 2+ itakuwa ni mwanzo mzuri.
LET'S GO THE CITYZENS.