Adipoz
JF-Expert Member
- Jan 24, 2023
- 527
- 459
Tuache kumlaumu kipa, kazi ya ulinzi ni collective huwezi ukamlaumu kipa kama mabeki wanazingua.Hiki kitu hata mimi nilishakiongea humu..city tungekuwa na shot stopper aina ya curtois, allison, cech, van der saar, de gea, mendy tungekuwa na uefa walau moja japo bahati mbaya ni kuwa asilimia kubwa ya makipa wa aina hiyo sio wazuri kwenye collective build up na hawana excellent footwork lakini angalau wanaweza kufanya majukumu yao ya msingi kabisa, kulinda goli.
With ederson ni kama vile huwa tunacheza 11 uwanjani bila kipa.