The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hiki kitu hata mimi nilishakiongea humu..city tungekuwa na shot stopper aina ya curtois, allison, cech, van der saar, de gea, mendy tungekuwa na uefa walau moja japo bahati mbaya ni kuwa asilimia kubwa ya makipa wa aina hiyo sio wazuri kwenye collective build up na hawana excellent footwork lakini angalau wanaweza kufanya majukumu yao ya msingi kabisa, kulinda goli.

With ederson ni kama vile huwa tunacheza 11 uwanjani bila kipa.
Tuache kumlaumu kipa, kazi ya ulinzi ni collective huwezi ukamlaumu kipa kama mabeki wanazingua.
 
Tuache kumlaumu kipa, kazi ya ulinzi ni collective huwezi ukamlaumu kipa kama mabeki wanazingua.
Mkuu unatakiwa utambue kwamba kwenye mpira hata uwe na ukuta mgumu vipi, lazima timu pinzani zitapata nafasi ya kukusalimia golini, kuna muda mabeki watafanya kazi yao to the limit na maarifa ya kipa ndio yatakuwa tegemeo la mwisho.

Sasa kama una kipa ambae mabeki wakishapitwa tu ni kamba hapo una tofauti gani na kucheza wachezaji 11 bila kipa?

Na kwa kumbukumbu zangu ederson toka aje mwaka 2017 mpaka leo hii 2023 hajawai kusave hata penati moja, kila ikipigwa imo.
 
Tuache kumlaumu kipa, kazi ya ulinzi ni collective huwezi ukamlaumu kipa kama mabeki wanazingua.
You're right but timu inapocheza high line, nyuma inaacha space kubwa ambapo kama kwa bahati mbaya mkipoteza mpira kwenye half ya mpinzani na wakapiga long balls nyuma ya defence na mabeki ni wazito kukimbia, hapo ni kipa pekee ndio anakuwa kabeba matumaini ya timu.

Kila timu inayocheza highline huwa inajikuta kwenye situation za namna hii lakini tofauti na timu zenye makipa wazuri, sisi hapo LAZIMA tufungwe.

Simaanishi kwamba tungekuwa na kipa mzuri tusingekuwa tunafungwa, ila angalau timu pinzani inabidi wapate angalau chance 3 za namna hiyo ili kufunga goli 1.

Kwa ederson, tatu zote mtaokota mpira wavuni unless wapige off target.
 
Hiki kitu hata mimi nilishakiongea humu..city tungekuwa na shot stopper aina ya curtois, allison, cech, van der saar, de gea, mendy tungekuwa na uefa walau moja japo bahati mbaya ni kuwa asilimia kubwa ya makipa wa aina hiyo sio wazuri kwenye collective build up na hawana excellent footwork lakini angalau wanaweza kufanya majukumu yao ya msingi kabisa, kulinda goli.

With ederson ni kama vile huwa tunacheza 11 uwanjani bila kipa.
Ukiangalia city huwa tunatolewa kwa kufungwa idadi kubwa ya magoli.

2016/17
agg: monaco 6-6 city (sheria ya magoli ya ugenini ikatutoa)

2017/18
agg: liverpool 5-1 city

2018/19
agg: spurs 4-4 city (away goals again)

2019/20
lyon 3-1 city (single leg)

2020/21 final
chelsea 1-0 city (msimu pekee tuliofanya vizuri defensively in terms of structure)

2021/22
agg: madrid 6-5 city

Defence pekee (structure+ goalkeeper) ndio inatuangusha kubeba hili kombe.
 
Silaha kubwa ya Tuchel huwa ni mawinga.
Leo tutashika dimba lakini wao watashika channels za pempeni kwa kuwadeploy watu wenye kasi kama leroy sane, sadio mane au kingsley coman hivyo leo sitegemei kama pep atachezesha back 3.
Rodri akicheza kama single pivot inatosha coz the more tutarundika watu katikati the more tutakuwa weak kwenye flanks ukizingatia mabeki wetu hawana kasi.

Nategemea kwenye moyo wa safu ya ulinzi ataanza Dias na Stones.
 
Yap yap, dias na stones wabaki kuwa wanamlinda ederson, ake na walker wanakamata fullback, then badala ya fullback kuwa anapanda kwenda kupatner na rodri, gundo ndio awe anashuka kuja kusaidia kusambaza mipira kwenda kwa kina kdb,mahrez na grealish.
Hii itasaidia kuwa na usalama dhidi ya pace ya bayern kwa kuziba mianya ya pembeni.
Inakuwa ni 4-2-4 badala ya 3-2-5 wakati wa kushambulia.

All in all haya ni mawazo yetu mashabiki, pep ndio ana dhamana ya kila kitu na ndio anajua atatuingiza vipi.
 
CLASH OF THE TITANS.

MAN CITY vs BAYERN MUNICH

Kwa maoni yangu tukiweza kumtoa bayern, sioni madrid au chelsea kama watatuzuia, Tuchel ndio mtesi wetu kwenye knockout games.
Alitutoa FA akatufunga na fainali ya uefa.

Hizi mechi mbili za bayern ndio test kubwa kwetu na tukiweza kwenda ujerumani na faida ya magoli 2+ itakuwa ni mwanzo mzuri.

LET'S GO THE CITYZENS.
 
[emoji16]
IMG_20230411_195145.jpg
 
Mechi zake mbili za mwisho kukutana na city kapigika zote.

Huyu jamaa ni mjanja sana kwenye hizi stages but naamini pep leo ataonyesha master class yake.

In Pep I believe.
 
Wanaume tunaingia hivi.

City starting XI

Ederson
Stones
Ake
Dias
Akanji
Rodri
Gundo
Kdb
Haaland
Bernardo
Grealish

Let's get 'em
 
Back
Top Bottom