Bayern hana uwezo wa kufunga goli 3 city labda kama umeanza kufatilia mpira juzi...!!
TT sio kocha usimuamini jobless yaani utamuanzshaje benchi mchezaji kama Cancelo,Mane,Muller??
Muombe Madrid watolewe
Haiwez tokea labda bayern ya lewa sio hii ya kumtegemea Sane na mane iliokosa ata shots on target na alianza city watamgonga vilevileBayern anaweza mfunga team yyt Allianza tena kwa bao zozote.
Mane toka atoke kwenye maumivu hayupo sawa,Cancelo ndiyo kafika
Sisi tunataka tumtoe madrid ili kuproveMuombe Madrid watolewe
Haiwez tokea labda bayern ya lewa sio hii ya kumtegemea Sane na mane iliokosa ata shots on target na alianza city watamgonga vilevile
Labda Madrid ya Chalinze 😁 😁 😁Madrid atolewe na Chelsea?
Hwa wakifika nusu fainali wakatambike kule poriniLakini si mna jua mnapo ishiaga msi jisahau furaha isi zidi kichwa ..hii ucl kama sio Madrid tena basi ni ya napoli ..screenshot hii comment
Hakuna team kubwa imepataga matokeo ETIHADNo team want to play at the etihad.
Ila anaheshima mno hakukanyaga logo ya cityCancelo Leo kazomewa bana ...
Sisi sio PSG tunapataga ma goal bernabeu alianza hapawezi kutushindaHongereni Man City LKN tie bado haija isha.
Bayern wana uwezo wa kufunga bao nyingi nyumbani kwao
Mkaze sana kuvuka
Sasa unataka umlazimishe acheze kama hao?Ndiomaana likaitwa jini zee la kuibia yaani ndo linaongoza kwa offside nyingi dunia nzima
Vilevile halina goli hata 3 alizofunga kutoka nje ya 18 yard box yaani lishukuru linatafuniwa ni kumeza tu shwaaa ila magoli ya mbali kama Lewy,CR7,Rooney na Aguero haliwezi[emoji706][emoji706]
Mkuu hamna wanasema mashabiki wa City ni wachina na Philippines ambao wamechelewa kujua mpira ndo nkawaambia sio mda watahama timu zao waungane na waliochelewa kujua mpira kama wasemavyo..Andika vitu vinavyoeleweka mkuu ,hapa umeandika nin [emoji23][emoji23]
Wakitaka ata haland tunawapa tuYaani tumeuza kwa mkopo kwamba hana faida tumewapa sterling Jesus na zinchenko
Ipo game atatumika shida pep hatabiriki mahrez wa mechi ya Liverpool ulimuona?Kuna hatari mahrez akaanza kusugua benchi.