The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Bayern hana uwezo wa kufunga goli 3 city labda kama umeanza kufatilia mpira juzi...!!

TT sio kocha usimuamini jobless yaani utamuanzshaje benchi mchezaji kama Cancelo,Mane,Muller??

Bayern anaweza mfunga team yyt Allianza tena kwa bao zozote.
Mane toka atoke kwenye maumivu hayupo sawa,Cancelo ndiyo kafika
 
Bayern anaweza mfunga team yyt Allianza tena kwa bao zozote.
Mane toka atoke kwenye maumivu hayupo sawa,Cancelo ndiyo kafika
Haiwez tokea labda bayern ya lewa sio hii ya kumtegemea Sane na mane iliokosa ata shots on target na alianza city watamgonga vilevile
 
Lakini si mna jua mnapo ishiaga msi jisahau furaha isi zidi kichwa ..hii ucl kama sio Madrid tena basi ni ya napoli ..screenshot hii comment
 
Badae ntaanza kugawa dawa za maumivu naona watu wameanza kuteseka humu kwa kipigo kizito cha jana.

VivaCityzen[emoji170]🤍
 
Hongereni Man City LKN tie bado haija isha.
Bayern wana uwezo wa kufunga bao nyingi nyumbani kwao
Mkaze sana kuvuka
Sisi sio PSG tunapataga ma goal bernabeu alianza hapawezi kutushinda
 
Ndiomaana likaitwa jini zee la kuibia yaani ndo linaongoza kwa offside nyingi dunia nzima

Vilevile halina goli hata 3 alizofunga kutoka nje ya 18 yard box yaani lishukuru linatafuniwa ni kumeza tu shwaaa ila magoli ya mbali kama Lewy,CR7,Rooney na Aguero haliwezi[emoji706][emoji706]
Sasa unataka umlazimishe acheze kama hao?
 
Wakuu jamii
Andika vitu vinavyoeleweka mkuu ,hapa umeandika nin [emoji23][emoji23]
Mkuu hamna wanasema mashabiki wa City ni wachina na Philippines ambao wamechelewa kujua mpira ndo nkawaambia sio mda watahama timu zao waungane na waliochelewa kujua mpira kama wasemavyo..
 
Back
Top Bottom