Ndo ninapochoka mie hapo tyuuh.The tie is still on, inatakiwa twende tukawamalize kulekule kwao yasije tukuta ya Madrid.
Hata wakifunga 7 tutapata goal 6 hawana beki upamecano[emoji16]Citizens huu mwaka tufanye maajabu jamani.
Ila unaweza shangaa, tukafika pale [emoji2522] [emoji629] tukatolewaa, maana Man city sijui tukojee yaan.
Hadi naogopaaa
Lakini si mna jua mnapo ishiaga msi jisahau furaha isi zidi kichwa ..hii ucl kama sio Madrid tena basi ni ya napoli ..screenshot hii comment
Za ujerumani sawa anaweza izo Dortmund anazifunganga 5 kwa 4 ndo uone alivyo mbovuBayern anaweza mfunga team yyt Allianza tena kwa bao zozote.
Mane toka atoke kwenye maumivu hayupo sawa,Cancelo ndiyo kafika
Tulipofika final na Chelsea ulikuwa hujazaliwa?Lakini si mna jua mnapo ishiaga msi jisahau furaha isi zidi kichwa ..hii ucl kama sio Madrid tena basi ni ya napoli ..screenshot hii comment
Yaan cna amani kabisaa, huu mwaka tunyanyue kwapaa, team bila kombe La UEFA badoo sanaaaa.Hata wakifunga 7 tutapata goal 6 hawana beki upamecano[emoji16]
Unaimani na Bayern [emoji16]?Hwa wakifika nusu fainali wakatambike kule porini
Salama mkubwa usiejua mpira[emoji16]Habari zenu watoto wa 2005
Sawa muanzilishi wa epl man city ipo kabla la Chelsea Liverpool pamoja na ukoo wako juha wewe mkuu unachukizaHaka katimu mashabiki wake ni wanafunzi
Ila tunafunga team kubwa na tunafurahiaHaka katimu mashabiki wake ni wanafunzi
Tunabeba hakuna wa kutuzuia mungu atupe Madrid final tumtwange hatuwezi kiivyoYaan cna amani kabisaa, huu mwaka tunyanyue kwapaa, team bila kombe La UEFA badoo sanaaaa.
Sawa mvizia madent[emoji16]Jukwaa la madenti
Chuki tuJukwaa la pupul's
Mm nimeanza kushabikia fc bandari ya tanga baadae nikawa shabiki wa tukuyu stars miaka hiyo haujazaliwaSalama mkubwa usiejua mpira[emoji16]
Manchester city ni broila bila sheikh mansour ni sawa na stoke city au Wigan athleticSawa muanzilishi wa epl man city ipo kabla la Chelsea Liverpool pamoja na ukoo wako juha wewe mkuu unachukiza
Kiama chenu kinakujaIla tunafunga team kubwa na tunafurahia
Labda mnabeba lawamaTunabeba hakuna wa kutuzuia mungu atupe Madrid final tumtwange hatuwezi kiivyo
Hata jana ulisema ivyo sisterKiama chenu kinakuja