The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Citizens huu mwaka tufanye maajabu jamani.

Ila unaweza shangaa, tukafika pale [emoji2522] [emoji629] tukatolewaa, maana Man city sijui tukojee yaan.

Hadi naogopaaa
Hata wakifunga 7 tutapata goal 6 hawana beki upamecano[emoji16]
 
Bayern anaweza mfunga team yyt Allianza tena kwa bao zozote.
Mane toka atoke kwenye maumivu hayupo sawa,Cancelo ndiyo kafika
Za ujerumani sawa anaweza izo Dortmund anazifunganga 5 kwa 4 ndo uone alivyo mbovu
 
Lakini si mna jua mnapo ishiaga msi jisahau furaha isi zidi kichwa ..hii ucl kama sio Madrid tena basi ni ya napoli ..screenshot hii comment
Tulipofika final na Chelsea ulikuwa hujazaliwa?
 
Back
Top Bottom