Pep aliposema kwenye stage kama hizi hatofanya rotation tena kama siku za nyuma kumbe alikua hatanii.Jana baada ya kumuona stones kwenye line up, nkajua atacheza inverted role but I was wrong.
Stones jana alikua center back ambaye alikua anapanda vertically kwenye midfield timu ikiwa na mpira, na anashuka kuungana na dias timu ikiwa haina mpira, akanji ndio anakua fullback.
Nadhani kwasababu akanji ni mwepesi kiasi kuliko stones.
Tuchel kuanza na gnabry naona alitaka zaidi pace yake, timu karibia yote ilikosa confidence kabisa.Ngoja tuone sec legUkiacha makosa ya mabeki ila wale madogo kule mbele Gnaby na colman walizingua pia angalau angeanza Muller na chuopo moting mngepata chochote
Hii JF ilivyo na vichekesho unaweza kuta aliyeandika hivi ni shabiki wa arsenal.Nionyeshe picha mkiwa mme nywnyua ndoo...nyie tuna wajua tofauti yenu na psg ni jezi tu
Team ya mashoga iyo bora kaa kimya tuHata mm sijui ila nahisi naipenda FC bandari ya tanga
Anafungika ngoja utaona tuHata km sio misimu hii miwili yuko tofauti sana.
Basi sawaahAnafungika ngoja utaona tu
Kwa utamu huu mnaopata kila siku ni rahisi kwa mashabiki wa City kupata ugonjwa wa kisukari.Itabidi nipumzike kwanza kuishabikia man city maana naona inanipa wakati mgumu sana wakuu
Ndio maana nikadai nipumzike kwanza nitafute kitu cha kunipa stress kidogo ili maisha yawe balance maana sio kwa furaha hizi asee!Kwa utamu huu mnaopata kila siku ni rahisi kwa mashabiki wa City kupata ugonjwa wa kisukari.
#Arsenyo Kondoo
#Haaland kiatu
#Mancity bingwa Uefa & Epl 2022/2023
Dada una mdomo ndo mana huolewiHaka katimu bhana