The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Jana baada ya kumuona stones kwenye line up, nkajua atacheza inverted role but I was wrong.

Stones jana alikua center back ambaye alikua anapanda vertically kwenye midfield timu ikiwa na mpira, na anashuka kuungana na dias timu ikiwa haina mpira, akanji ndio anakua fullback.

Nadhani kwasababu akanji ni mwepesi kiasi kuliko stones.
Pep aliposema kwenye stage kama hizi hatofanya rotation tena kama siku za nyuma kumbe alikua hatanii.

Ake...dias...akanji...stones
Hapo sasahivi ni panga pangua iwe mvua iwe jua.
 
Ukiacha makosa ya mabeki ila wale madogo kule mbele Gnaby na colman walizingua pia angalau angeanza Muller na chuopo moting mngepata chochote
Tuchel kuanza na gnabry naona alitaka zaidi pace yake, timu karibia yote ilikosa confidence kabisa.Ngoja tuone sec leg
 
Jana nilihisi KDB atakuwa ameumia baada ya kutwist goti lake ila pep kasema kumtoa ilikuwa ni juu ya "tactical reasons"
 
For the third time this season city tumezidiwa possession ila bado mtu haponi.

Kwa brighton tulishinda 3-1

Arsenal akafa 3-1

Jana ndio kama hivyo.
 
Next ni leicester city.
Wamemchukua dean smith kama kocha wao mpya.
 
.walete arsenal...
FB_IMG_16812901717691498.jpg
 
[emoji2424] John Stones: "I’m not sure how I got #UCL Man of the Match, I think anyone could have got it. I don’t know what to say about that, to be honest!"
FB_IMG_16812906242085480.jpg
 
Kwa utamu huu mnaopata kila siku ni rahisi kwa mashabiki wa City kupata ugonjwa wa kisukari.


#Arsenyo Kondoo
#Haaland kiatu
#Mancity bingwa Uefa & Epl 2022/2023
Ndio maana nikadai nipumzike kwanza nitafute kitu cha kunipa stress kidogo ili maisha yawe balance maana sio kwa furaha hizi asee!

sasa timu gani na mambo gani haya kila mechi inashinda tu? ila jamaniii
 
Bernardo silva ule mwili na anayoyafanya haviendani kabisa ...

Kuna movement Moja alikuwa anapita katikati ya msitu kama vile haendi lakin ndio hivo anapenya [emoji23]
 
Manchester city has become the english team with the longest unbeaten run at home ground in UCL history (25 games).
 
Back
Top Bottom