Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Pep aliposema kwenye stage kama hizi hatofanya rotation tena kama siku za nyuma kumbe alikua hatanii.Jana baada ya kumuona stones kwenye line up, nkajua atacheza inverted role but I was wrong.
Stones jana alikua center back ambaye alikua anapanda vertically kwenye midfield timu ikiwa na mpira, na anashuka kuungana na dias timu ikiwa haina mpira, akanji ndio anakua fullback.
Nadhani kwasababu akanji ni mwepesi kiasi kuliko stones.
Ake...dias...akanji...stones
Hapo sasahivi ni panga pangua iwe mvua iwe jua.