The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Huu mwaka tusipopiga threesome ya makombe ntajua kweli na ulaya kuna uchawi.

Treble on the way.
Liverpool mwaka Jana walikuwa wameshachukua fa ,crabao ,CL wako final ,epl tunakimbizana point Moja lakin waliishia hayo hayo ...

Bado safari ni ndefu sanaaa ....

Tena sanaaa



Home and away ya Madrid sio mchezo ....

Game zetu 8 zilizobaki sio mchezo ....
 
Nnayemuhofia ni real madrid, huku kwingine tunatoboa.
 
Leo pep lazima atarotate kikosi kauli, sioni akiingia na full stregth ukizingatia epl kule imeshaanza kubaki wazi.
Hakuna haja ya kukata nyasi kwa shoka.
Hata mimi naona kuna rotation itafanyika tena kubwa tu, maana game ya arsenal ni kufa na kupona japo bado tuna advantage ya mechi 2 mkononi ila kuachia hata point moja litakua kosa.
 
Hata mimi naona kuna rotation itafanyika tena kubwa tu, maana game ya arsenal ni kufa na kupona japo bado tuna advantage ya mechi 2 mkononi ila kuachia hata point moja litakua kosa.
Imagine tukadraw na arsenal harafu game mbili zilizobaki tukashinda Bado tutakuwa tunamzidi arsenal ....

Kiufupi kila kitu Kiko mkononi mwetu ...
 
Kiufupi Kwa Sasa epl hakuna game nyepesi ,yaani hasa Hawa wanaoshuka daraja inahitajika tactics na mbinu za hatari kuhakikisha unachukua point 3 ...

Jana saton kumkazia arsenal watu wanashangaa ila wanashindwa kujua kuwa ilikuwa 11mens vs 11 men's uwanjan na kila mtu anataka point 3 ....

Kila nikikumbuka game ya carabao na saton walitufunga goli 2- 0 safi kabisa ,yaani pep siku hio mfumo na mbinu zote ziligonga ukuta ...

Saizi tunatakiwa kuingia uwanjan mentally na physically tukiwa fit ,utulivu wa hali ya juu unahitajika ..
 
Kila timu ilianza hivihivi, ndio ukuaji wenyewe, hata mbuyu ulianza kama mchicha.
Madrid tunamtoa hamtaamini.
mbona mchicha aui mbuyu acha kujidanganya ww tulia madrid akunyofoe vinyango urud kupambana na asenyani
 
mbona mchicha aui mbuyu acha kujidanganya ww tulia madrid akunyofoe vinyango urud kupambana na asenyani
Hivi wewe kwanza si ni shabiki wa chelkenge au?
[emoji28][emoji28] madrid kakutoa basi ndio unafikiri ataitoa kila timu.
 
Kwaiyo zimebaki mechi 13 tu tupige treble?

EPL 8
UEFA 3
FA 2
leo tunaanza ya kwanza.
 
Liva walikula ng'ombe mzima wakashindwa kumalizia mkia, wakakosa EPL na UEFA kwenye hatua za mwisho.
 
CONFIRMED:

Mechi yetu na Brighton itachezwa May 24 (kiporo).

Mechi yetu na Leeds pia imerudishwa kutoka May 7 mpaka May 6 Kutokana na mechi yetu ya nusu fainali ya Uefa kupangwa kuchezwa May 9.
 
Leo ilikua ni lazima kuwe na rotation.

City starting XI

Ortega
Walker
Gomez
Akanji
Laporte
Gundogan
Bernado
Mahrez
Grealish
Alvarez
Haaland
 
Sheffield tumekutana nao Mara nne kwenye FA cup na wametufunga zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…