Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Liverpool mwaka Jana walikuwa wameshachukua fa ,crabao ,CL wako final ,epl tunakimbizana point Moja lakin waliishia hayo hayo ...Huu mwaka tusipopiga threesome ya makombe ntajua kweli na ulaya kuna uchawi.
Treble on the way.
Bado safari ni ndefu sanaaa ....
Tena sanaaa
Home and away ya Madrid sio mchezo ....
Game zetu 8 zilizobaki sio mchezo ....