The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Haaland, kdb, hawa watu wameanza kucheza interchangeably.
 
Haaland mechi nyingine ambayo kacheza kama alivyocheza jana ilikuwa ni ile ya man utd walipokufa 6.
 
Vijitu vinakaa vinadanganyana arsenal bingwa pumbavu. Watu tumekimbizana na liverpool ambayo ilikua ni bora kuliko arsenal af et leo kigenge cha watoto kitusumbue, kuna watu utafikiri wameanza kuangalia epl juzi.
 
DIAS,AKANJI,WALKER,AKE,STONES.

Dah laporte inabidi aachiwe aende tu, maana hivi vyuma hapa vimemaliza kila kitu
 
Jana kdb alikua ana movement nyingi sana kwenye box,najiuliza mechi zingne sa kwanin huwa hafanyi the same?
Approach zinatofautiana kati ya game na game.

Kiujumla tu ni kwamba haaland ni static striker,anakuwa anasubiri mipira aweke kambani. Hiyo inamfanya kdb
acheze nyuma ya haaland na mawinga ili kudeliver mipira kwa haaland.
Kwa mechi ya jana haaland alikuwa dynamic na involved kwa kiasi kikubwa kwenye kutengeneza nafasi na ndio ilikua inampa uhuru kdb wa kuingia kwenye box mara kwa mara.
 
DIAS,AKANJI,WALKER,AKE,STONES.

Dah laporte inabidi aachiwe aende tu, maana hivi vyuma hapa vimemaliza kila kitu
Toka aje man city, defensive structure aliyokuja nayo sasahivi ndio the best.

kutufunga mpaka tuwe tushajihakikishia ushindi kwanza, tofauti na hapo inabidi upambane haswa.
 
Haaland kashaipita rekodi ya Mohamed Salah ya magoli 32 ndani ya msimu mmoja wa EPL.
Kwasasa Haaland ana 33 na bado mechi 7.
 
Mpaka sasa sijaona umuhimu wa kwenda kupiga kelele jukwaa la arsenal, acha wakafie mbele.
 
Kwasasa tumebakiza mechi 7 kwenye ligi.
Tunahitaji kushinda mechi 6 tupewe kombe letu.
 
Mechi zilizosalia ni hizi.

Fulham (Away)

West ham (Home)

Leeds (Home)

Everton (Away)

Chelsea (Home)

Brighton (Away)

Brentford (Away)
 
Manu Akanji, mtu na nusu huyu bwana, BVB lishakua chimbo letu hawajawahi kutuangusha, vile tuliwabeba akanji, haaland, gundogan the same tunatia nanga kwa bellingham.

Sheikh mansoor afanye kuiongeza bvb kwenye city group, wanatupa vyuma sana hawa.
 
Mechi zilizosalia ni hizi.

Fulham (Away)

West ham (Home)

Leeds (Home)

Everton (Away)

Chelsea (Home)

Brighton (Away)

Brentford (Away)
Game ya everton hapo imekaa kimtego sana.
Ipo katikati ya game 2 against real madrid na ni away, very very tricky.
 
Game ya everton hapo imekaa kimtego sana.
Ipo katikati ya game 2 against real madrid na ni away, very very tricky.
Na wapo chini huko, ndio maana nilikuwa nasema kushinda game ya arsenal ilikua muhimu sana maana hata ikitokea tumedraw hapo mbele bado tunakua na nafasi ya kuwin kombe.
 
Manu Akanji, mtu na nusu huyu bwana, BVB lishakua chimbo letu hawajawahi kutuangusha, vile tuliwabeba akanji, haaland, gundogan the same tunatia nanga kwa bellingham.

Sheikh mansoor afanye kuiongeza bvb kwenye city group, wanatupa vyuma sana hawa.
Inataka kuwa kama liverpool walivyokua wanachomoa watu pale southampton.
 
Game ya everton hapo imekaa kimtego sana.
Ipo katikati ya game 2 against real madrid na ni away, very very tricky.
Wapo relegation zone wanapambana kutoka, lakini sasa nasisi tunataka kombe, uzuri ni kwamba tunahitaji kushinda mechi 6 kati ya 7 zilizobaki ili kutetea ubingwa wetu, kuna game moja hapo ya kuassume "mpira unadunda".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…