The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ila pep bana, yani pamoja na kwamba ile pasi ya ederson ilileta progression ya kwenda kuzalisha bao, yeye bado aka mind.
Aliyepiga ule mpira ni stone sio ederson ..

Ederson alimpigia pass stone ,wakati stone kashakabwa na Jesus pamoja na martnell,kiufupi pass ya ederson ilikuwa ya kichonganishi ndio maana pep alimind ...... ....ndio stone akabutua kwenda mbele kule ...bahati nzuri ukamkuta haaland akampa kdb ,kdb akafunga
 
Kama unafatilia mechi za city vizuri kabisa utagundua timu inapotaka kutoka chini kwenda juu, mpira lazima upite kwa rodri (lazima) hasa against timu zinazofanya high pressing.
Ederson pasi za hivyo huwa anazipiga nyingi tu kwa rodri, juzi kaipeleka kwa stones beki, ndio akaucheza mbele ukazaa goli.
Point yangu ilikua kwamba, ederson kuchagua route ya stones badala ya rodri ndio kosa lake licha ya kwamba ndio route iliyoenda kuexpoit space kwenye defence ya arsenal kwa haraka na kuzaa bao.
 
Madrid leo wametangaza kwamba luka modric ana majeraha ya nyama za paja na anaweza kuwa nje kwa wiki 2.
Huyu anaweza kutukosa first leg ama asiwe fiti kwa 100%
 
Pep guardiola has revealed that Nathan Ake is the only absentee and the rest of the squad is full fit ahead of sunday clash against fulham.
 
Mataji ambayo tutayabeba mwaka huu 2023.

1. English Premier league trophy
2. FA cup
3. UEFA Champions league cup
4. UEFA super cup
5. Community shield

Mda huo kuna genge litamaliza trophyless [emoji23][emoji23] dah, kweli life is unfair.
 
Mataji ambayo tutayabeba mwaka huu 2023.

1. English Premier league trophy
2. FA cup
3. UEFA Champions league cup
4. UEFA super cup
5. Community shield

Mda huo kuna genge litamaliza trophyless [emoji23][emoji23] dah, kweli life is unfair.
Punguza sauti, arsenali wakikusikia watakumeza.
 
Haya haya bado game 11 kuifikia nchi ya ahadi, TREBLE LAND.

Nyumbu wakiona hivi kijasho chembamba kinawatoka [emoji23]

EPL mechi 7
FA mechi 1
UCL mechi 3

Ferguson atajua hajui.
Kwenye epl hapo tunahitaji kushinda mechi 6 kama arsenal akikaza kushinda zake zilizobaki.
Akikaza fuvu, ubingwa tutatangazia kwa Brighton May 24, Arsenal akiendelea kupuyanga, tunabeba ndani ya wiki mbili zijazo.
Hapo sasa tunabaki na hesabu za UEFA maana kule FA nyumbu tunajipigia tu.
 
Pep has said, Nathan Ake is feeling better but he has not yet train with the team.

The dutch defender might miss the trip to fulham on sunday.
 
Inatakiwa ieleweke kwamba malengo yetu yalikuwa uefa, hizi epl na fa zinajipendekeza tu so no way, inabidi tuzichukue tu tutafanyaje sasa.

Unprecedented treble
[emoji23][emoji23] nyumbu na fergie wao kila wakiona hili neno kamasi zinawatoka.
 
UNPRECEDENTED TREBLE [emoji28][emoji28][emoji28]
kuna watu watapasuka vichwa kwa kufura.
 
Ndio, lakini ile strictness wakati wa ku execute tacticts ni kubwa mno kwa pep.

Bielsa na Pep hivi vichwa havitaki kusikia kitu kinaitwa "maamuzi magumu"
Bandiko nililokunukuu uliandika kuhusu perfectionism na ndipo nilipokua nimebase kwamba hakuna kocha asiyetaka perfection wakati wa tactical execution.
 
Simon Hooper has been appointed the referee for FULHAM vs MANCHESTER CITY
 
Haya haya bado game 11 kuifikia nchi ya ahadi, TREBLE LAND.

Nyumbu wakiona hivi kijasho chembamba kinawatoka [emoji23]

EPL mechi 7
FA mechi 1
UCL mechi 3

Ferguson atajua hajui.
Hahahaa kwamba Mzee Ferguson atajua hajui au sio.
 
Former Liverpool man, Graeme Souness has ranked pep's man city as the greatest Premier League team ever.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…