West ham ni wabovu sana kwenye open play, ni kujitahidi tu kuifungua low block yao basi tunamaliza kazi.Naona Arsenal baada ya ushindi wa jana wamefufua matumaini. Ushindi leo unahitajika kuwarudisha mashimoni. Mechi ya leo itakua ngumu West ham wana shughuli si ya kitoto
Huyu dogo dogo sionagi maajabu yako kulinganisha na thamani wanayoitaja.Kuna ripoti zinasema bellingham/dortmund wanakaribia kufanya makubaliano na Real madrid deal ambalo litakua na thamani ya €100m.
Hapa sasa tukomae na Kova na Mac allister.
Ngoja tukomae na kina kamanda Kova.Huyu dogo dogo sionagi maajabu yako kulinganisha na thamani wanayoitaja.
Foden kuanza ni ngumu, grealish ni undropable.Leo foden anaweza kufikiriwa, kuna gundogan pia anaweza kupumzishwa.
Tumejitoa kwenye race, inabidi tumpate Mac alister.Kuna ripoti zinasema Dortmund wanakaribia kufanya makubaliano na Real madrid kuhusu uhamisho wa Bellingham, deal ambalo litakua na thamani ya €100m.
Hapa sasa tukomae na Kova na Mac allister kama taarifa zitakua na ukweli.
Sio lazima aanzie kushoto, hata kulia pia anaweza kuanza.Foden kuanza ni ngumu, grealish ni undropable.
Kumkosa jude binafsi haiwezi kuniuma hata kidogo.Kuna ripoti zinasema Dortmund wanakaribia kufanya makubaliano na Real madrid kuhusu uhamisho wa Bellingham, deal ambalo litakua na thamani ya €100m.
Hapa sasa tukomae na Kova na Mac allister kama taarifa zitakua na ukweli.
KDB si hakuna uhakika juu ya fitness yake?Kama tunataka kushinda hii game mapema chonde chonde haaland & Alvarez wasianze pamoja ...
Game ya fulham tulishinda ila kila mtu aliona ...
Hakuna game nyepesi epl ,energy ,passion ,vinahitajika kuanzia filimbi ya kwanza mpaka 90+min ....
Ederson
Walker -- dias --- akanji
Stone --- rodri
Grealish ---- kdb ---gundo ---bernado
Haaland
Kuchezesha haaland & Alvarez Kwa pamoja ni kujaribu mfumo mpya kwenye game ambayo tunahitaji point 3 mhimu ..... Mwisho wa siku tunakuja kushituka muda umeenda tunadrop point ...
Bado saa moja tupate ile kitu roho inataka.Dah mda unakawia kweli watu tunataka tuangalie kandanda safi.
KDB hayupo kwenye squad.Kama tunataka kushinda hii game mapema chonde chonde haaland & Alvarez wasianze pamoja ...
Game ya fulham tulishinda ila kila mtu aliona ...
Hakuna game nyepesi epl ,energy ,passion ,vinahitajika kuanzia filimbi ya kwanza mpaka 90+min ....
Ederson
Walker -- dias --- akanji
Stone --- rodri
Grealish ---- kdb ---gundo ---bernado
Haaland
Kuchezesha haaland & Alvarez Kwa pamoja ni kujaribu mfumo mpya kwenye game ambayo tunahitaji point 3 mhimu ..... Mwisho wa siku tunakuja kushituka muda umeenda tunadrop point ...
With alvarez & haaland huwa tunastruggle sana kwenye kutengeneza nafasi hasa kwa hizi timu zinazocheza low block.Alvarez na bernado ndio wataamua game ya leo.
Kadri alvarez anavyozidi kupata challenges kama hizi, ndipo anavyoadapt zaidi kucheza kama midfielder.With alvarez & haaland huwa tunastruggle sana kwenye kutengeneza nafasi hasa kwa hizi timu zinazocheza low block.