Kama tunataka kushinda hii game mapema chonde chonde haaland & Alvarez wasianze pamoja ...
Game ya fulham tulishinda ila kila mtu aliona ...
Hakuna game nyepesi epl ,energy ,passion ,vinahitajika kuanzia filimbi ya kwanza mpaka 90+min ....
Ederson
Walker -- dias --- akanji
Stone --- rodri
Grealish ---- kdb ---gundo ---bernado
Haaland
Kuchezesha haaland & Alvarez Kwa pamoja ni kujaribu mfumo mpya kwenye game ambayo tunahitaji point 3 mhimu ..... Mwisho wa siku tunakuja kushituka muda umeenda tunadrop point ...