The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ndio mechi yake ya 5 msimu huu kacheza kama attacking midfielder, ana vingi vya kuimprove na muda bado anao ngoja tuone kufikia msimu ujao.
 
Mechi ya Leeds kdb atakuwepo fit, Madrid anatukuta tuna kikosi kamili unless mwingine aumie Jumamosi.
 
Hiki kitu nilikua nakisema humu, Phillips apewe muda tu anaweza kuja kuclick kwenye mfumo tukaanzaa kujivunia matunda ya uvumilivu.

Binafsi bado akili inakataa kabisa kuamini kwamba Phillips kashindwa totally, he is a machine kama akifanikiwa kurudi kwenye ubora wake.
 
Man city imefikia makubaliano na AFC Wimbledon kumsajili kipa wa kikosi cha U-18 cha wimbledon, Spike Brits kwa ada ya € 200,000.

(Via TEAMtalk)
 
Lete maneno.
Bora hata ume reply

unaonaje Manchester city kubeba treble msimu huu mkuuuu we shabiki wa chelseaaaaaa πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nakuonea huruma sana mkuu
 
Erling Haaland's stunning acrobatic kick against Southampton has been nominated for April's goal of the month.
 
Bora hata ume reply

unaonaje Manchester city kubeba treble msimu huu mkuuuu we shabiki wa chelseaaaaaa πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nakuonea huruma sana mkuu
Kwa uwekezaji waliofanya kwa muda mrefu wanastahili kupata matunda mazuri. Ni wakati wao sasa.
 
Kwa uwekezaji waliofanya kwa muda mrefu wanastahili kupata matunda mazuri. Ni wakati wao sasa.
Unachekesha sana kwani nyie chelsea mbona mme spend 300M$ na mnafanya pumba tu πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅ Hamjielewi kwa kweli wakuuuu sijui kwann ila your very dumb aseeee Chelsea to the pit
 
Kuna maximo perone, huyu inabidi tumuangalie kwenye preseason huenda kukawa hakuna haja ya back up DM mwingine.
Perrone bado sana kufikia level ya kuwa hata back up tu, anahitaji kukomaa zaidi mentally and physically.
Yupo pale for future use huku akijengwa taratibu but kwa sasa tunahitaji wanaume wa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…