Kwa hiyo Alvarez anataka kuwa attacking midifilder?....sidhan kama pep Kwa hili ataweza ....
Mim naona Bado hawezi kuimudu hio position ....
Ukiangalia movement za Alvarez akiwa na mpira katikati ya msitu ,utaona anavotumia nguvu nyingi kucontrol mpira ,tofauti na kdb .....
Jana Kuna muda Hadi walimkwatua kiatu nahisi aliumia ,sababu ya kuhold mpira Kwa sekunde kadhaa kutaka kupiga pass , attacking midifilder lazima uwe mnyumbulifu , quick action taker ,akili ifanye kazi chap kuliko mwili .......labda huko mbeleni ataweza .....
Sijui Kwann pep hamwamin orteg ,lakin huyu jamaa anajua kulinda goli ,kiufupi akikaa golin ni kama alison ,ni stoper mzuri Sana ,....japo Kuna muda namuona anaiga movement za ederson ,kusimama na mpira Sana kusogea mbele kutafuta mtu wa kumpigia ....ederson anaweza kukaa na mpira hata second 7 ,watu wamesimama tu wanasubili apige [emoji23]