The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kwa hiyo Alvarez anataka kuwa attacking midifilder?....sidhan kama pep Kwa hili ataweza ....

Mim naona Bado hawezi kuimudu hio position ....

Ukiangalia movement za Alvarez akiwa na mpira katikati ya msitu ,utaona anavotumia nguvu nyingi kucontrol mpira ,tofauti na kdb .....

Jana Kuna muda Hadi walimkwatua kiatu nahisi aliumia ,sababu ya kuhold mpira Kwa sekunde kadhaa kutaka kupiga pass , attacking midifilder lazima uwe mnyumbulifu , quick action taker ,akili ifanye kazi chap kuliko mwili .......labda huko mbeleni ataweza .....

Sijui Kwann pep hamwamin orteg ,lakin huyu jamaa anajua kulinda goli ,kiufupi akikaa golin ni kama alison ,ni stoper mzuri Sana ,....japo Kuna muda namuona anaiga movement za ederson ,kusimama na mpira Sana kusogea mbele kutafuta mtu wa kumpigia ....ederson anaweza kukaa na mpira hata second 7 ,watu wamesimama tu wanasubili apige [emoji23]
Ndio mechi yake ya 5 msimu huu kacheza kama attacking midfielder, ana vingi vya kuimprove na muda bado anao ngoja tuone kufikia msimu ujao.
 
Mechi ya Leeds kdb atakuwepo fit, Madrid anatukuta tuna kikosi kamili unless mwingine aumie Jumamosi.
 
Kelvin Phillips next season atakuwa mkombozi wetu ,subili muone ...

Rodri huu msimu Yuko fire,but haimanishi next season atakuwa hivo hivo ,kama vile foden ,Mahrez wakati wanakiwasha hakuna mtu angetegemea grealish angekuwa regula starter wakati Bado wapo .....

So next season tegemea kumuona kalvin Phillips wa Leeds ....pep atampa nafasi ...
Hiki kitu nilikua nakisema humu, Phillips apewe muda tu anaweza kuja kuclick kwenye mfumo tukaanzaa kujivunia matunda ya uvumilivu.

Binafsi bado akili inakataa kabisa kuamini kwamba Phillips kashindwa totally, he is a machine kama akifanikiwa kurudi kwenye ubora wake.
 
Man city imefikia makubaliano na AFC Wimbledon kumsajili kipa wa kikosi cha U-18 cha wimbledon, Spike Brits kwa ada ya € 200,000.

(Via TEAMtalk)
 
Lete maneno.
Bora hata ume reply

unaonaje Manchester city kubeba treble msimu huu mkuuuu we shabiki wa chelseaaaaaa 😁😁😁😁😂😂😂😂 nakuonea huruma sana mkuu
 
Erling Haaland's stunning acrobatic kick against Southampton has been nominated for April's goal of the month.
 
Bora hata ume reply

unaonaje Manchester city kubeba treble msimu huu mkuuuu we shabiki wa chelseaaaaaa 😁😁😁😁😂😂😂😂 nakuonea huruma sana mkuu
Kwa uwekezaji waliofanya kwa muda mrefu wanastahili kupata matunda mazuri. Ni wakati wao sasa.
 
Kwa uwekezaji waliofanya kwa muda mrefu wanastahili kupata matunda mazuri. Ni wakati wao sasa.
Unachekesha sana kwani nyie chelsea mbona mme spend 300M$ na mnafanya pumba tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💵💵💵💵💵💵💵 Hamjielewi kwa kweli wakuuuu sijui kwann ila your very dumb aseeee Chelsea to the pit
Screenshot_20230503-003407~2.png
 
Kuna maximo perone, huyu inabidi tumuangalie kwenye preseason huenda kukawa hakuna haja ya back up DM mwingine.
Perrone bado sana kufikia level ya kuwa hata back up tu, anahitaji kukomaa zaidi mentally and physically.
Yupo pale for future use huku akijengwa taratibu but kwa sasa tunahitaji wanaume wa kazi.
 
Back
Top Bottom