ronaldo habi
Senior Member
- Sep 24, 2021
- 106
- 132
Man city their Good too Good...sema madrid Wana classy wako na standard yao...kuna sababu ya wao wanaitwa wafalme...Real madrid eliminated Man city last season.
But that City didn't have aggressive Haaland on it's frontline.
That City didn't have combative Akanji and brilliant Stones at it's backline.
Tunaelewa madrid ni tough competitors, ila this time lazima tupambane, sisi kumtoa madrid kwenye hii hatua haitakuwa mara ya kwanza, alishatolewa mara nyingi tu.Man city their Good too Good...sema madrid Wana classy wako na standard yao...kuna sababu ya wao wanaitwa wafalme...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunavyowaambia treble hamuelewi sio?Mancity achague afe kwa madrid au man u fainali hatuwezi mruhusu atupge kote kote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara zote madrid amewatoa mzee...Tunaelewa madrid ni tough competitors, ila this time lazima tupambane, sisi kumtoa madrid kwenye hii hatua haitakuwa mara ya kwanza, alishatolewa mara nyingi tu.
Yani kuna watu wanaamini kabisa eti madrid atapita.Real madrid eliminated Man city last season.
But that City didn't have aggressive Haaland on it's frontline.
That City didn't have combative Akanji and brilliant Stones at it's backline.
Wale wale wa historia, kututoa zote maana yake na hii anatutoa?
Madrid kashatolewa mara nyingi tu kwenye semi final, sijamaanisha sisi ndio tuliomtoa.
some lads maybe huwa wanasubiri matokeo tu.Yani kuna watu wanaamini kabisa eti madrid atapita.
Madrid etihad tulimpiga goli 4, yeye akarudisha 3 sababu ya defence urojo tuliyokuwa nayo,
right back fernandinho, solid ila mzito, (vs vinicius [emoji3])
left back zincheko, sio solid na hana speed.
Madrid wakawa wanateleza tu wakapunguza deni la magoli.
Second leg tulitengeneza nafasi za kutosha kukawa hakuna clinical finisher, madrid wamekuja kufunga magoli dakika za mwisho wametutoa.
Sasa watu wanatembelea historia tu, madrid hana timu ya kuitoa city msimu huu.
Worry out bro, madrid kaziaibisha sana timu za uingereza msimu uliopita, anataka kufanya tena hivyo msimu huu, kitu ambacho hatutakubali.Shabiki wa Liverpool kutoka VISIWANI huku nasemaje Leo Madrid mumdunde mpaka atoke Manundu
Unachokifanya hapa kitaalamu tunaita "I wish ningekuwa na mabawa"Man City Leo mtaona Cha motoo, hamtapata alama hata Moja leo.
Endelea kubisha utajionea mwenyewe,Man City Haina beki za kuwazuia Vinicious na Benzema,leo lazima mtayakanyaga.Unachokifanya hapa kitaalamu tunaita "I wish ningekuwa na mabawa"
Ila wao wana beki ya kumzuia haaland ausio.Endelea kubisha utajionea mwenyewe,Man City Haina beki za kuwazuia Vinicious na Benzema,leo lazima mtayakanyaga.
Kuna yule camavinga, atakayecheza kule kulia ana kazi sana kwa huyu dogo.Madrid kitakachomuangusha leo ni defence yake.
Kiukweli hakuna namna yeyote ile ambayo Real madrid watazuia tusifunge goli/magoli leo, hakuna.
Hope atacheza bernado sababu madrid huwa wana overload upande wa kulia means bernado atakuwa anarudi kukaba.Kuna yule camavinga, atakayecheza kule kulia ana kazi sana kwa huyu dogo.