The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sasa Jumapili Dacoure na Onana wanawagonga miguu pale kati kisha Madrid kiurahisi anawabamiza Itihad.

Madrid yy hawezi chezesha akina Benzema weekend hii lkn nyie lzm mchezeshe
 
Pep psychologically kama vile anakosaga utulivu tunapotanguliwa ,anakuwa na hofu ,may be alijifunza last year zile sub alizofanyaga akaboronga ,anashindwa kujilipa na kufanya changes ...

Carlo anafanya sub ,but pep kakomaa ....
Hata mimi binafsi sijaona umuhimu wa sub mkuu, game ilikuwa intense sana na benchi walikuwepo kina foden mahrez Palmer kalvin n.k
 
Sasa Jumapili Dacoure na Onana wanawagonga miguu pale kati kisha Madrid kiurahisi anawabamiza Itihad.

Madrid yy hawezi chezesha akina Benzema weekend hii lkn nyie lzm mchezeshe
Unakuta kilaka kama huyu ni shabiki wa Liverpool anakuja kwenye jukwaa la wanaume kavaa kanga moko imelowa ,kama unataka wahuni tukukamie sema...
 
Madrid kakuinamsha final mbili zote anakugonga ,[emoji23][emoji23][emoji23]naona Leo unamshabikia ....

Wewe kigagula wa huko sumbawanga unazid var ,referee na camera zaidi ya ishirini zilizokuwa uwanjan kujua kma mpira haijatoka au laaah

Hiyo wametoa ESPN sio mm
Mbona refa kakataa kuita VAR
Wanashika kwenye penalty wala hamna faulo.
Lkn watatoka tu.
 
Sasa Jumapili Dacoure na Onana wanawagonga miguu pale kati kisha Madrid kiurahisi anawabamiza Itihad.

Madrid yy hawezi chezesha akina Benzema weekend hii lkn nyie lzm mchezeshe
Wanaanza kushtuka mapema sahiv... Treble ni ndoto labda wamfunge man utd fa cup maana pep hawez kubali kutoka trophy less... Hivyo akubali kuachi kati ya hayo 3 achukue 1
Kiroho safi[emoji120]
 
Madrid kakuinamsha final mbili zote anakugonga ,[emoji23][emoji23][emoji23]naona Leo unamshabikia ....

Wewe kigagula wa huko sumbawanga unazid var ,referee na camera zaidi ya ishirini zilizokuwa uwanjan kujua kma mpira haijatoka au laaah
Zungumzia na zile acts za Grealish kuunawa mkono ndani ya 18
 
Next ni everton, hapa ndipo ugumu unapoanzia.

Hatuhitaji kudroo na everton wala hatuhitaji kudroo na madrid.
 
Hiyo wametoa ESPN sio mm
Mbona refa kakataa kuita VAR
Wanashika kwenye penalty wala hamna faulo.
Lkn watatoka tu.
Mikono ikiwa imeshika mwili hata mpira uje mkononi sio foul ....

Sijui huwa unaangalia mpira wa wapi

Mnaangalia mpira na matokeo yenu mfukoni ndio maana mnakuja na makasiriko ...
 
Wanaanza kushtuka mapema sahiv... Treble ni ndoto labda wamfunge man utd fa cup maana pep hawez kubali kutoka trophy less... Hivyo akubali kuachi kati ya hayo 3 achukue 1
Kiroho safi[emoji120]
Kumbe mnaoteseka ni wengi hivi, sasa hivi mmehamia kwa everton, sisi tunatwanga tu.
 
Kimahesabu ni game 6 sababu tunahitaji mechi 3 tu kutangaza ubingwa wa EPL.

6 games away from treble
 
Wanaanza kushtuka mapema sahiv... Treble ni ndoto labda wamfunge man utd fa cup maana pep hawez kubali kutoka trophy less... Hivyo akubali kuachi kati ya hayo 3 achukue 1
Kiroho safi[emoji120]
Madrid alishawaharibu ubongo Hadi Malinda nyie mashabiki wa Liverpool....

Kuwagonga final mbili sio mchezo [emoji23][emoji23][emoji23],Bado akawagonga goli 5 kwenye uwanja wenu mnaoniita sijui anfield....kiufupi Madrid kashawamaliza nyie kaeeni pembeni tuwaonesha wanaume tunavoenda kumkanda huyo madrid...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…