Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi binafsi sijaona umuhimu wa sub mkuu, game ilikuwa intense sana na benchi walikuwepo kina foden mahrez Palmer kalvin n.kPep psychologically kama vile anakosaga utulivu tunapotanguliwa ,anakuwa na hofu ,may be alijifunza last year zile sub alizofanyaga akaboronga ,anashindwa kujilipa na kufanya changes ...
Carlo anafanya sub ,but pep kakomaa ....
Madrid kakuinamsha final mbili zote anakugonga ,[emoji23][emoji23][emoji23]naona Leo unamshabikia ....
Bado na imani na City kwenda fainal.
Unakuta kilaka kama huyu ni shabiki wa Liverpool anakuja kwenye jukwaa la wanaume kavaa kanga moko imelowa ,kama unataka wahuni tukukamie sema...Sasa Jumapili Dacoure na Onana wanawagonga miguu pale kati kisha Madrid kiurahisi anawabamiza Itihad.
Madrid yy hawezi chezesha akina Benzema weekend hii lkn nyie lzm mchezeshe
Madrid kakuinamsha final mbili zote anakugonga ,[emoji23][emoji23][emoji23]naona Leo unamshabikia ....
Wewe kigagula wa huko sumbawanga unazid var ,referee na camera zaidi ya ishirini zilizokuwa uwanjan kujua kma mpira haijatoka au laaah
Jamaa angu city inakutesa sana, pole sana yatapita.
Wanaanza kushtuka mapema sahiv... Treble ni ndoto labda wamfunge man utd fa cup maana pep hawez kubali kutoka trophy less... Hivyo akubali kuachi kati ya hayo 3 achukue 1Sasa Jumapili Dacoure na Onana wanawagonga miguu pale kati kisha Madrid kiurahisi anawabamiza Itihad.
Madrid yy hawezi chezesha akina Benzema weekend hii lkn nyie lzm mchezeshe
Zungumzia na zile acts za Grealish kuunawa mkono ndani ya 18Madrid kakuinamsha final mbili zote anakugonga ,[emoji23][emoji23][emoji23]naona Leo unamshabikia ....
Wewe kigagula wa huko sumbawanga unazid var ,referee na camera zaidi ya ishirini zilizokuwa uwanjan kujua kma mpira haijatoka au laaah
Mikono ikiwa imeshika mwili hata mpira uje mkononi sio foul ....Hiyo wametoa ESPN sio mm
Mbona refa kakataa kuita VAR
Wanashika kwenye penalty wala hamna faulo.
Lkn watatoka tu.
Grealish alikuwa kashaweka mikono kwenye mwili ,hata mpira uguse mkono sio foul ...kashaficha mkono ....Zungumzia na zile acts za Grealish kuunawa mkono ndani ya 18
Kumbe mnaoteseka ni wengi hivi, sasa hivi mmehamia kwa everton, sisi tunatwanga tu.Wanaanza kushtuka mapema sahiv... Treble ni ndoto labda wamfunge man utd fa cup maana pep hawez kubali kutoka trophy less... Hivyo akubali kuachi kati ya hayo 3 achukue 1
Kiroho safi[emoji120]
Madrid alishawaharibu ubongo Hadi Malinda nyie mashabiki wa Liverpool....Wanaanza kushtuka mapema sahiv... Treble ni ndoto labda wamfunge man utd fa cup maana pep hawez kubali kutoka trophy less... Hivyo akubali kuachi kati ya hayo 3 achukue 1
Kiroho safi[emoji120]