Mr Ubwabwa
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 375
- 283
Three peat loadingLabda mchukue tebo
Arsenal bingwa EPL
Madrid bingwa UCL
Man City vs Man U FA anachukua yyt
Liverpool ilishaolewa na madrid, basi unafikiri na wengine wataolewa kama nyie pole sana.Huwa nacheka sana porojo za Man City!
Mfumo wa sasa UCL hakuna faida yyt ucheze home au away!
Hivi ina maana Vin na Rodrigo na Benzema watashindwa kucheza vyema Itihad sababu tu ni Itihad?
Porojo zingine hazina maana yyt,Madrid huwezi mtoa nusu final UCL,hauna team hiyo
Kabla ya mechi mlisema mnashinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787] baada ya 1:1 mkaanza kujitetea tena [emoji1787][emoji1787]Sio kila mechi ni za kushinda 4,5.
Hatukuwa tunacheza na derby county brother.
alisikika shoga mmojaLabda mchukue tebo
Arsenal bingwa EPL
Madrid bingwa UCL
Man City vs Man U FA anachukua yyt
KDB alikuwa.Man of the match ni Reuben Dias..
Hii inaonesha wazi City alizidiwa Hadi beki wake kawa man of the match..
Madrid wanaweza maliza kazi Etihad
uyo ni mke wa madrid anaumia mumewe anavyosulubiwaToka Madrid awageuze nyuma na kuwagonga goli 5 ,two final back to back mnapigwa na Madrid saizi naona umeamua kuwa shabiki [emoji23][emoji23][emoji23]
Tukutane etihad, pale kila goti litapigwa.Kabla ya mechi mlisema mnashinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787] baada ya 1:1 mkaanza kujitetea tena [emoji1787][emoji1787]
Unakumba zile sub alizofanya last year pale bernabeu ...dakika ya 86 anatoa Mahrez ,kdb ,gundo ....anawaweka kina grealish ambao hawakuwa na form kila mtu anajua ....Aguero ameshangaa kwa nini pep hakumuingiza Alvarez, kwa ule ukatili wa kina rudiger alvarez asingefanya chochote.
Toka Madrid awageuze nyuma na kuwagonga goli 5 ,two final back to back mnapigwa na Madrid saizi naona umeamua kuwa shabiki [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabla ya mechi mlisema mnashinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787] baada ya 1:1 mkaanza kujitetea tena [emoji1787][emoji1787]
Madrid alishakutumbua ubongo hapo kichwani ni empty headed [emoji23][emoji23][emoji23]tulia uone wanaume tunavomnyoosha huyo kibwengo ..Wana jidanganya sana Man City eti Madrid atashindwa cheza vyema Itihad
Huwa nacheka sana aisee
Madrid anakupiga Itihad
Ilikua apigwe home and away refa kawapa bao la mchongo
Huyo Everton hana uwezo hata wa draw [emoji23]mpaka msimu unaisha mtakuwa mmeteseka Sana na kuwa matahila kabisa ,Leo unamshabikia Everton Jana ulikuwa Madrid ...Cant wait kuona mutu murefu Calvin akiwa anapiga bao zake mbili huku Dacoure akiwa amechukua dimba lake.
Sababu mtachezesha kikosi kamili tegemea majeruhi wawili au watatu kujiondoa kucheza na Madrid
Everton 2-Watoto wa refa 1
Arsenal bingwa.