The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Huwa nacheka sana porojo za Man City!
Mfumo wa sasa UCL hakuna faida yyt ucheze home au away!
Hivi ina maana Vin na Rodrigo na Benzema watashindwa kucheza vyema Itihad sababu tu ni Itihad?
Porojo zingine hazina maana yyt,Madrid huwezi mtoa nusu final UCL,hauna team hiyo
Liverpool ilishaolewa na madrid, basi unafikiri na wengine wataolewa kama nyie pole sana.
 
.
FB_IMG_16837000481254121.jpg
 
"De bruyne is the cleverest player I've ever witness"

Thierry Henry
 
Sio kila mechi ni za kushinda 4,5.
Hatukuwa tunacheza na derby county brother.
Kabla ya mechi mlisema mnashinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787] baada ya 1:1 mkaanza kujitetea tena [emoji1787][emoji1787]
 
Aguero ameshangaa kwa nini pep hakumuingiza Alvarez, kwa ule ukatili wa kina rudiger alvarez asingefanya chochote.
 
Aguero ameshangaa kwa nini pep hakumuingiza Alvarez, kwa ule ukatili wa kina rudiger alvarez asingefanya chochote.
Unakumba zile sub alizofanya last year pale bernabeu ...dakika ya 86 anatoa Mahrez ,kdb ,gundo ....anawaweka kina grealish ambao hawakuwa na form kila mtu anajua ....

Tukapigwa goli 2 za chap chap .....badae mkaanza kusema kakosea sub ?...
 
Toka Madrid awageuze nyuma na kuwagonga goli 5 ,two final back to back mnapigwa na Madrid saizi naona umeamua kuwa shabiki [emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa ww unamtoa Madrid?
Au ndiyo hizi porojo kama Benzema na Vin watashindwa ku deliver Itihad?
Unapigwa Itihad unatoka
Itihad hautapewa tena mpira ulio toka nje ufunge
 
Kabla ya mechi mlisema mnashinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787] baada ya 1:1 mkaanza kujitetea tena [emoji1787][emoji1787]

Wana jidanganya sana Man City eti Madrid atashindwa cheza vyema Itihad
Huwa nacheka sana aisee
Madrid anakupiga Itihad
Ilikua apigwe home and away refa kawapa bao la mchongo
 
Madrid anaenda kuweka record ya kuwanyoosha vigogo wa Epl ndan ya msimu mmoja--- Alianza Liverpool akaja Chelsea na sasa wananchi.
 
Cant wait kuona mutu murefu Calvin akiwa anapiga bao zake mbili huku Dacoure akiwa amechukua dimba lake.
Sababu mtachezesha kikosi kamili tegemea majeruhi wawili au watatu kujiondoa kucheza na Madrid
Everton 2-Watoto wa refa 1
Arsenal bingwa.
 
Wana jidanganya sana Man City eti Madrid atashindwa cheza vyema Itihad
Huwa nacheka sana aisee
Madrid anakupiga Itihad
Ilikua apigwe home and away refa kawapa bao la mchongo
Madrid alishakutumbua ubongo hapo kichwani ni empty headed [emoji23][emoji23][emoji23]tulia uone wanaume tunavomnyoosha huyo kibwengo ..
 
Cant wait kuona mutu murefu Calvin akiwa anapiga bao zake mbili huku Dacoure akiwa amechukua dimba lake.
Sababu mtachezesha kikosi kamili tegemea majeruhi wawili au watatu kujiondoa kucheza na Madrid
Everton 2-Watoto wa refa 1
Arsenal bingwa.
Huyo Everton hana uwezo hata wa draw [emoji23]mpaka msimu unaisha mtakuwa mmeteseka Sana na kuwa matahila kabisa ,Leo unamshabikia Everton Jana ulikuwa Madrid ...
 
Back
Top Bottom