Madrid kakuinamsha final mbili zote anakugonga ,[emoji23][emoji23][emoji23]naona Leo unamshabikia ....
Wewe kigagula wa huko sumbawanga unazid var ,referee na camera zaidi ya ishirini zilizokuwa uwanjan kujua kma mpira haijatoka au laaah
Inatakiwa mtuombee hilo lisitokee maana itakuwa ni dharau kwa ligi nzima ya uingereza.Madrid anaenda kuweka record ya kuwanyoosha vigogo wa Epl ndan ya msimu mmoja--- Alianza Liverpool akaja Chelsea na sasa wananchi.
City inakutesa sana.Cant wait kuona mutu murefu Calvin akiwa anapiga bao zake mbili huku Dacoure akiwa amechukua dimba lake.
Sababu mtachezesha kikosi kamili tegemea majeruhi wawili au watatu kujiondoa kucheza na Madrid
Everton 2-Watoto wa refa 1
Arsenal bingwa.
Muda hautoshi kuombeana mkuu Kila mtu apambane na hali yake na sie wengine tuna mechi zetu zinazohitaji kuombewa. pia.Inatakiwa mtuombee hilo lisitokee maana itakuwa ni dharau kwa ligi nzima ya uingereza.
Not this time.Madrid anaenda kuweka record ya kuwanyoosha vigogo wa Epl ndan ya msimu mmoja--- Alianza Liverpool akaja Chelsea na sasa wananchi.
Ona huyu nae.Cant wait kuona mutu murefu Calvin akiwa anapiga bao zake mbili huku Dacoure akiwa amechukua dimba lake.
Sababu mtachezesha kikosi kamili tegemea majeruhi wawili au watatu kujiondoa kucheza na Madrid
Everton 2-Watoto wa refa 1
Arsenal bingwa.
Walker alijitahidi, lakini bado mashambulizi hatari yalikuwa yanatokea hukohuko, hata goli lao movement ilianzia huko.Walker jana ndiye mchezaji wa city aliyewin tackes na duels nyingi zaidi.
Kama Ake akirudi second leg, Akanji atasugua benchi.
Unaota wewe mdadaMadrid anaenda kuweka record ya kuwanyoosha vigogo wa Epl ndan ya msimu mmoja--- Alianza Liverpool akaja Chelsea na sasa wananchi.
Lini uyo Madrid alishawahi kushinda Etihad?Wana jidanganya sana Man City eti Madrid atashindwa cheza vyema Itihad
Huwa nacheka sana aisee
Madrid anakupiga Itihad
Ilikua apigwe home and away refa kawapa bao la mchongo
Mechi ya jana alvarez asingefanya chochote maana ilikuwa ni either atoke haaland au kiungo mmoja kati ya kdb na gundo.Unakumba zile sub alizofanya last year pale bernabeu ...dakika ya 86 anatoa Mahrez ,kdb ,gundo ....anawaweka kina grealish ambao hawakuwa na form kila mtu anajua ....
Tukapigwa goli 2 za chap chap .....badae mkaanza kusema kakosea sub ?...
Kashindwa kwake kwetu ataweza?Sasa ww unamtoa Madrid?
Au ndiyo hizi porojo kama Benzema na Vin watashindwa ku deliver Itihad?
Unapigwa Itihad unatoka
Itihad hautapewa tena mpira ulio toka nje ufunge
Alishawahi shida Etihad? Au taja team yeyote iliyowahi shida EtihadWanatoka
Madrid hana cha uwanja wa home wala ugenini
Umeshinda pata ushindi kwako unategemea maajabu tuPale under dog wa ucl wanavyo jifariji mbele ya bazazi la ucl
Alishawahi shida Etihad? Au taja team yeyote iliyowahi shida Etihad
Safari ya madrid ndo imeishia pale ,kule etihad wanaenda kukamilisha ratiba tu wameshatoka hawaMbona hamjawahi kuchukua UCL kama hamfungiki Itihad?
Huwezi mtoa Madrid haijalishi mnachezea wapi