Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Nikikukamata nitakuzibuaMind your business brother, kivyovyote vile wewe unateseka nini?
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliKuna watu wanasubiri suprise kama ile 2021 ya chelsea, let them keep on hoping.
Kuna ubaya kwani wakitoka makundi hayo?Mashabiki wa hii timu wanaundwa na watu wa makundi 3
1.watoto waliozaliwa 2005 na kuendelea
2.Wahamiaji waliotoka timu zao za asili
3.Wazee wa kubeti
Sasa hapo bora ilo kundi la tatu
Ubaya upo kwa hilo kundi la pili la wahamiaji haramu WAKAMATWEKuna ubaya kwani wakitoka makundi hayo?
Shabiki la Bandari na Wazee FcUbaya upo kwa hilo kundi la pili la wahamiaji haramu WAKAMATWE
Bandari FC ya tangaShabiki la Bandari na Wazee Fc
Huyu KDB kuna mzungu koko wa mtaani kwetu kafanana nae yaan
Kumbe tunaishi mtaa mmoja😃Huyu KDB kuna mzungu koko wa mtaani kwetu kafanana nae yaan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee itakua, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe tunaishi mtaa mmoja[emoji2]