The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Leo inter itakua ni low block tu, wana watu wenye uwezo mkubwa kufanya hiyo kazi, unfortunately kwao, tumekutana na timu nyingi tu zinazocheza low block na wamepasuka, nothing new.
Ndo wanacho tegemea na wajue kbs watapasuka.

Kosi letu naona liko vzr kbs.

Leo ubingwa wa ulaya unakuja Etihad.
 
Moto mkubwa umeibuka kule Instanbull na unaelekea kwenye stadium, uchawi huo
 
Pep awe makin hii back 3 sio mchezo ....

Chelsea alitufunga final na back 3 ...

Tumepigwa nje ndani na Brentford na back 3 ,hii tactics kama pep hajaifanyia home work aisee ,abadili mbinu haraka Sana Kwa ground....

Naona intermillan wanakuja na back 3 ....

 
Kwani knock out stage yote si tumetumia back 3 au we ulikua unaangalia man city ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…