Hazipanei means??Pep kakosea sana kumtoa Kdb. Naskia hazipanei. Sidhani msimu ujao KDB atababaki city.
Vipi kwani kaumia ???KDB kakimbia mapema maskini
Hamstring injuryVipi kwani kaumia ???
Duh sasa itakuwaje???Hamstring injury
Hazipandi. Hawaelewani
Pep kakosea sana kumtoa Kdb. Naskia hazipanei. Sidhani msimu ujao KDB atababaki city.
HahahahaWe unaangalia mpira kweli?
Pep ni mbaguzi tuWe unaangalia mpira kweli?
Nimecheka kwa nguvuWe unaangalia mpira kweli?
Pep ni mbaguzi tu
Hata kama Pep kahusikaSawa ila KDB katolewa sababu ya kupata majeraha